Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama hukutumia kitu chochote zaidi ya kuangalia ukuta kwa hasira na ukafunguka huo sio uchawi bali ni nguvu yako ya asili uliyonayo wewe mwenyewe lakini hujijuwi kama unayo hiyo nguvu . Mpaka itokee shida nyingine ndipo utakapo weza kuitumia hiyo nguvu yako ya asili kuku okowa na matatizo .
 
Miaka kadhaa imepita, nilikuwa naaishinmbezi beach iyo siku nilikuwa nnaumwa nimekunywa dawa, ila ilibidi nikakutane na washkaji zangu samaki samaki, sikugusa pombe kabisa mida kama ya saa 7- 8, nikaondoka nimefika maeneo ya makongo nikamuona binti mwanafunzi, amevaa uniform anatembea kwa kuchechemea sana, huku mguu mmoja hauna kiatu wala soksi, nikafikiria kumsaidia nafdi ikaniambia acha, yani nilivyompita tuu nnachungilia simuoni kwenye vioo

Next time makongo hapo hapo saa kumi usiku ninarudi home tukakutana na mbibi na kijana wamevaa manguo meupe na kujipaka vitu vyeupe ila walikuwa wanatembea kwenye lane tofauti na tuliyokuwa na katika gari tulikuwa wanne na watatu wote tuliwaona, nikamwambia jamaa alikuwa anaemdesha wakiingia lane yetu usiwakwepe fumua
 
Duh asante kwa kunijuza ila natamani sana ijirudie tena
 
Duh asante kwa kunijuza ila natamani sana ijirudie tena
Mkuu Ninakupa ushauri mzuri ukitaka zile nguvu zije tena achana na kuvuta sigara,kunywa pombe na uzinzi. Na pia uwe unapenda kufanya sana ibada kama ni mkristo nenda sana kanisani la kama ni Muislam nenda sana msikitini na kuacha kusema maneno ya uongo pendelea kusaidia watu. Kuwa mtu mkweli na Muaminifu kwa watu fuatilia Thread za huyu Kijana anayeitwa kwa jina hili Mr Rakims utapata faida nyingi sana ukitaka Thread zake bonyeza hapa.

 
Mkuu Kiranga njoo hapa usome hii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina mkuu, mimi ilikuwa nikisisimka hivyo nashindwa kuendelea kuomba, with time nikawa sawa.Pole tuendelee kumtumainia Yesu
 
Hiyo ni system ya kuwaona maisha yako yote au Mara moja tu?Pia na je wao watajua kua umewaona au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…