Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Pole mkuu juzi tu tarehe 26 nilikuwa Bukokwa hadi sukuma ni kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nilivyoyaona hayo mazingira yalivyo na wasukuma wengi nilihisi kutakuwa na uchawi mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima si ndio ilikuwa kazi yake??
apo kwenye kurudisha msukule....nna shida napo...kuna mganga anaiweza iyo kazi..? maana kuna mtu.nampenda kweli na walimchukua msukule..na hata kila siku namuota ila haongei...nahisi washamkata ulimi....nahitaji sana kama kuna mtu anaiweza iyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa dodoma mtaa wa chang'ombe mwaka 2000 nilikua na rafiki mmoja ambae baba alikua mwanajesh(mzigua) na mama nesi ,wazazi wa huyo rafiki niliekua nae walitumia stuli kuhifadhia pesa,ilizibwa pande zote kwa vipande vya sealing board,
Wakati wa likizo moja ya mwezi wa sita ,huyo fafiki yangu alikua akija na pesa na tukatumia kwa mambo tuliojua wenyewe kwa wakati huo,
Alikua akiiba pesa kwa zaidi ya wiki tatu,jioni moja alipanga kuleta pesa ili twende club moja maarufu kama NK ,alikamatwa na bibi yake akitokea chumbani kwa wazazi wake na pesa,

Baada ya baba kurudi kazini ilikua ni kipigo cha mbwa mwizi,
Siku moja baada ya kipigo kwa huyo rafiki yangu nilifuatwa asubuhi na bibi yake akitaka nimpe kila alichoninunulia mjukuu wake,mimi nikatoa saa niliyokua nimevaa mkononi na kumkabidhi

Kilichofuata ni kuumwa magonjwa yasioeleweka,kila hospital walisema hawaoni kitu,ilikua navimba kiungo kimoja baada ya kimoja kwa kulala tu ,hata kama ni mara nne kwa siku bas nitavimba sehemu nne tofauti.
Niliish na mama wa kambo peke yake wakati huo huku mzazi wangu(baba) akiwa safarini kikazi,
Ilimbidi atafute njia mbadala (mtaalamu wa jadi) ili niweze kupona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kahawa kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]

I remember back in the days in the village when i used to trick boda guys..because our house was close to a cemetery.Once i climbed the bike i would stuff my nostrils with cottonwool without him knowing. Then when we got infront of the cemetery i would scare him and he would run for his life! On this fateful day, i boarded the bike as usual and stuffed my nostrils with cottonwool.when we got to the cemetry i scared him but this time he just stared at me.I danced all the ghost songs i know..but he didnt even move.I even spoke pidgin "oga..you no dey fear ghost!?" nothing happened.He got up and held my shirt "nipatie pesa zangu mjinga ii" I begged the guy to calm down and let me get it for him..i went into the cemetry as he held my shirt and followed me.As i was walking..i jokingly knelt down on a grave and knocked on it "Habari..nsaidie na 200 nipatie hii ghasia iniachilie" i thought this would scare the guy..but nothing! kidogo kidogo a hand stretched out from the grave holding 200/- note "chukua hii na unirudishie ukipata" My brothers and sisters..to date..i still dont know who carried who between me and the bikeman out of that cemetry.ile kitu nakumbuka tu ni nilijipata juu ya pikipiki at a neighbouring town.As for the bikeman sijui alienda wapi..i still have the bike parked at home [emoji23][emoji23].whenever i pass by that place,i always see my one pair of gucci shoe that fell off as i was running [emoji23].It is not that i cannot go and get it oooo...just that i dont like gucci stuff anymore.Infact..i dont like shoes again!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Happy 2020 Fam!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa ina sikitisha kwakwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallah nimecheka acha
 
Rombo kwa uchawi ni kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…