Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Si gamboshi pekee,maeneo mengi Tz hayapo ktk Google Map.Aseee, nilikuwa nasearch Gamboshi hapo Google map na haya ndo majibu:
View attachment 1312909
I moved your cheese!
Doh..hizi sehemu zitakuwa ni bush balaa.
Haya ndio matatizo ya sayansi ya wazungu kujidai inataka kuelezea kila kitu. Sasa hapa ndio umeandika kitu gani?Emar,
Panic attack ya mtihani. Ni mwili wako ulikuwa una-react kutokana na panic uliyokuwa nayo bila kujijua.
Sasa wewe unanijibu swali kwa swali halafu hapo hapo unanisema nina maswali?
Sayansi imethibitishwa kwa mantiki isiyokanushika katika majaribio yanayoweza kurudiwa na wengine kwa uthibitisho zaidi.
Wewe uchawi unauthibitishaje huu ni uchawi na si kitu kingine usichokijua?
Arrogant Atheist sio?
wote wanatumia nguvu za giza mkuu kuna waziri mmoja rafiki yangu nilikuta kwake kawafungia waganga kama 30 hivi anawalisha kila kitu wamtengeneze mambo yake yawe mazuri na kweli amefanikiwa jiwe anamsikiliza hatari japokua jamaa ni bogus tu
"Kurumbana" ndiyo nini?
Wapi nimejadili kwa ubaya?
Wapi nimelazimisha mtu aamini kile ninachoamini mimi?
Ninachoamini mimi ni kipi?
Umejuaje hiki ndicho naamini mimi?
Umejuaje naweka umuhimu wowote kwenye kuamini?
Do not flatter yourself. I don't know you like that.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kuamini, nataka kujua.Arrogant Atheist sio?
Hivi serious unaamini sayansi inauwezo wa kuelezea kila tukio linatokea ulimwenguni?
Kundi kubwa la watu kwenye huu uzi bro wanashuhudia walioyaona au waliosikia,Je wote wanaweza vipi wakawa wazushi?
Ume suggest methodology yako ya kuthibitisha uchawi upo kea kutaka watu wakuroge......tunaweza vipi kumfanyia Experiment Lab rat asiyeonekana?
Sayansi Ina inherent flaw,FYI Sayansi imejengwa katika assumption moja kuu.... All things are material
Najua unajua nini maana ya Assumption...
Sasa why ubishane na kila mtu Wakati hata unachokiamini still kime base katika assumption?
UKwanini ujitese? Unaweza amini uchawi still ukawa Atheist..Coz sio kila kitu kilicho nje ya scope ya sayansi Basi ni porojo na uzushi
Katika sayansi ya Isaac Newton...time dilation ilikua nje ya scope coz haikuingia akilini time interval kutofautiana katika ulimwengu Mmoja ,Je time dilation ni uzushi Leo?
Amini uchawi upo.....
Wewe guluguja ngumbaru hata Kiswahili hujui, usisingizie Kiingereza.We pimbi huto tukingereza tumekufanya umekua mjinga zaidi kila sentensi mbili Nye Nye Nye basi unajiona msomi wa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea basi kwanini watu wengi wanaamini uchawi Wakati haupo kwa mujibu wako)Sitaki kuamini, nataka kujua.
Usiniwekee maneno.
Sijawahi kusema sayansi ina uwezo wa kuelezea kila tukio linalotokea ulimwenguni.
Dhana yenyewe ya "kila tukio linalotokea ulimwenguni" si ya kisayansi.
Unaelewa hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna geto flan nlipanga mitaa ya njiro kule seminary aisee ilikuwa ni hatar maana mi kwa asili ganja napuliza sana sasa siku naamia pale mama mwenye nyumba alibadilika maana alivoniona tu tayar nimetoka kukichoma harufu shazi macho yente.
1. Picha linaanza usiku kuna panya anapita kila siku saa sita usiku na sifaham anakokwenda ila anapitia geti kwangu kwa ceiling board nkaona nipuuzie.
2. Nimelala siku hyo cjagusa ganja wala pombe full mzima kabsa kuamka asubuh kitanda kimegeuzwa aisee nililipua ganja hyo siku adi akaja niambia arufu imekuwa kali ana wagen home kwake ila ilikuwa sound. Nakila nkiwah na hela nkiamka asubuh nakuwa broke cna kitu.
3. Nimelala nimeamka asubuh mlango uko waz na niliufunga aisee ilikuwa ni kelele alaf maza house akawa anakaa nnje na kanga tu age kama 50+ yrs tako tako kweli hips kama zimechongwa alaf havai kitu kanga ndembe ndembe.
4. Usiku natoka club ndo nlimshuhudia live aisee wakat nakarbia getin nlisimama sehem nkakojoa ndipo nkaona mtu kaingia getin bla kufungua mlango na nlivogonga geti ili anifungulie ndo yy maaana nguo na koti aliovaa ndo ile ile na ndan alikuwa uchi kavaa dera tu alaf macho meupe mtu ambae hajalala.
5. Hii sasa ndo ilinifanya kesho yake nihame maana nlimuota namla kweny ndoto ghafla nkashtuka nkaskia kama mtu kakimbia chumban aisee sikulala tena kula ganja mbaya mbovu had asubuh alioniona anaangalia chin mara anikarbishe msosi mara anatak anisaiidie kufua.
6. Hatak wapangaji wa kike only boys ndo wanaqualify
Kuna mzee wa mtaani nlikuwa nampa hi na kumtania mambo ya mpira ndo aliniita akaniambia vp unaonaje kuna utofaut naupata nkamwambia "ndyo" akasema hama pale utamalizwa maana huyo maama anavosifiagi kuna kijana mpangaji wake anampenda kwel ana adab anakula maganja hatar na ni mstaarab nkajiongeza tu nkaona bob marley nko mwenyw asije akanibaka siku moja nkasepa zangu ila wachaw hatar sana wanaroho ngumu na chuki
hao mbuzi wanaojichunga huwa wabaya sana, usiwaguse, mbuzi anafunguliwa kwenye banda tu anajua mwenyewe pa kwenda, mbuzi kabla hajavuka barabara kwanza anageuka kulia na kushoto, ukiwaona waache!.Nakumbuka miaka flani maeneo ya Pale kunduchi mtongani kuliku na mzee flani anaitwa x alikuwa anafuga mbuzi basi siku moja mbuzi wake alipotea maeneo ya benaco kule akaanza kulia kwa kuliita jina la yule mzee x mpk wananchi wanampeleka kwa yule mzee
Wewe guluguja ngumbaru hata Kiswahili hujui, usisingizie Kiingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii iliwahi mtokea mmshkikaji mmoja bwenini. Yaan jamaa alitoka mara nne nje ndani ya saa moja, nioashangaa jamaa mmoja mlokole anaanza kukemea pepo, ndipo yule jamaa akaa cha kujiskia mkojo. Ila ile hali Haikuwahi kujirudia tena pale bwenini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua zamani wakati wachaga bado walikua wanashika dini. Wale wa Magomeni mwembe chai unewaona siku hizi?hao mbuzi wanaojichunga huwa wabaya sana, usiwaguse, mbuzi anafunguliwa kwenye banda tu anajua mwenyewe pa kwenda, mbuzi kabla hajavuka barabara kwanza anageuka kulia na kushoto, ukiwaona waache!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli,,Kaka uchawi upo ndugu. Mbona ni dhahiri tu. Kama unawasikiliza akina Kiranga ndugu utapotea. Huyo Kiranga mtoto wa kishua. Na kuna familia au watu Mungu kawajaalia hawajawahi kukutana na misukosuko ya kichawi asilani.
Hii story huwa inahamishwa tu maeneo,, maana mara ya kwanza kusikia nilihadithiwa kuwa ilikua ni ziwa Victoria kuelekea kisiwa cha ukara Ila hapa naona aliekuhadithia sababu alikua dar aka twist mazingira ili kuonekana kuna uhslisia lakini kiukweli hii story ni KAMBAAnasimulia dereva wa Fuso Jangwani.
Hiyo siku wamekaa maskani kama kawaida wakisubiri wateja, haukupita muda akaja mzee wa kiarabu hivi(mburushi).
Mzee akaulizia huduma ya kupelekewa mizigo yake wanapopandia boti za kwenda Mafia, wapo waliomkatalia, akajitokeza kidume, akamwambia mzee twende. Akamwambia kuna vity vyangu nimenunua vingi viko Kariakoo, twende tuvipitie, swala la muda lisikupe tabu, nitakulipa kijana.
Huyu alikuwa ni mzee wa makamo kidogo, basi jamaa mpaka Kkoo, wakapakia safari ikaanza. Kufika pa kupandia boti, mzee akamwambia dereva sasa kijana wangu naomba unielewe hili, naomba twende nyumbani tuvuke pamoja nikakupe pesa yako, swala la muda wa kukuweka huku isikupe tabu. Dereva keshayavulia tena ikabidi akubali tu, safari ikaanza. Wamekwenda, boti ikafika pahala ni kwenye maji bado, yule mzee akamwambia muendeshaji kuwa simamisha hapo mi nimefika.
Kila mtu mle ndani haamin mzee anachokisema, mzee akawaambia simamisha, kweli nahodha wa chombo akatii, mzee akakuta wameshamsubiri tayari vijana wake, wakaanza kupakua mzigo ukaisha boti ikaendelea na safari. Sasa yule dereva akaamua kuwa mpole tu, akaambiwa na yule mzee kwa ukarimu kabisa, usiogope kijana karibu nyumbani, yule jomba akashukuru, wakaingia ndani, kwanza aliposhuka toka chomboni akaona bonge moja la mji, hajawahi fikiria kuliona. Kakirimiwa vizuri, akaambiwa ukitaka kuoa, njoo tu huku nina mabinti zangu hawajaolewa usiogope. Jamaa akapewa pesa yake akapelekwa pale pale aliposhukia akapandishwa chomboni mpaka ng'ambo. Baada ya tukio lile yule jomba hata umwambie nina mzigo nipelekee Temeke, humpeleki.
Kama alifanyiziwa?? Sio yeyeNikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.
Sent using Jamii Forums mobile app