Baba Watoto
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 393
- 277
Hii connection kama na mimi nahitaji aiseeelabda nikupe connection ya fundi tu jamaa fundi amefanikiwa hadi kumpa mmoja wa mawaziri uwaziri ni noma huyo alafu hana tamaa ukifanikiwa ndio unaenda kumshukuru
Mwana umetisha sana! [emoji23][emoji23][emoji23]Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi
Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri
Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma
Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie muungurumo wa simba akiwa nyuma yao na vimbwenga vingi lakini walijitahidi kukaza ili kutovunja sharti la kugeuka nyuma
Sasa ulipofika usiku majira ya saa 8 ikabidi waende makaburini kuoga ili kumalizia zoezi lao la mwisho ili wawe mamilionea
Walipofika makaburini wakavua nguo wote nakubakia uchi kisha wakapanda juu ya kaburi ili waoge
si unajua ukiwa katika ile mood flani hivi unaoga halafu umefumba na macho ili maji yasiingie machoni.
wakastukia tu paap! wameshikwa makalio kwa nyuma.
Aaah unaambiwa wote ilibidi wageuke nyuma kwa haraka huku wanakimbia na kupiga makelele
Kesho yake kijiweni wakaanza kulaumiana "aaah wewe ndiye ulizingua, we ungekausha bila kupiga mikelele mi nisingechochora kwani kushikwa tako kitu gani bwana" yani leo nisingekua nakunywa kahawa hapa ningekua nimejikoki huko kwenye hotel zinazotambulika na dunia"
nakuja chap
Orbit si topic ya thread. Na mimi sijataja orbit.
Siwezi kuelezea uchawi ni ilhali sijawahi kuloga wala kujifunzabkuloga. Nachojua uchawi upo (ni kama tunavyoamini kuwa kuna upepo ilhali hakuna aliyewahi kuuona zaidi ya kuona effects zake. Vivyohivyo na uchawi ndivyo ulivyo)Orbit si topic ya thread. Na mimi sijataja orbit.
Uchawi ni topic ya thread. Na wewe umetaja uchawi.
Umetaja uchawi bila kujua uchawi ni nini?
Uchawi ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Effects za uchawi ni zipi, na unajuaje hizi ni effects za uchawi tu, si kitu kingine chochote, ikiwa hata kuu define uchawi huwezi?Siwezi kuelezea uchawi ni ilhali sijawahi kuloga wala kujifunzabkuloga. Nachojua uchawi upo (ni kama tunavyoamini kuwa kuna upepo ilhali hakuna aliyewahi kuuona zaidi ya kuona effects zake. Vivyohivyo na uchawi ndivyo ulivyo)
Hatari sana. Unaweza kuta watu wanasoma mafile pamoja na Magu pale magogoni kimya kimya.Kuna mwamba humu JF aliwai kusimulia alichomoa hii ishu ya vyeti feki ya magufuli wenzake waliogopa wakapigwa chini yeye aliingia tanga hapo akafanya mambo hakudakwa mpaka leo yuko kazini
Hatimae nimemaliza uzi wote
Ila nasikitika sijaona comment ya Mshana jr
Walawi 19: 28Effects za uchawi ni zipi, na unajuaje hizi ni effects za uchawi tu, si kitu kingine chochote, ikiwa hata kuu define uchawi huwezi?
Wewe demu acha kunishobokea mm nimeoa tayari
Huwa nikionaga comments za kiranga nachoka!Effects za uchawi ni zipi, na unajuaje hizi ni effects za uchawi tu, si kitu kingine chochote, ikiwa hata kuu define uchawi huwezi?
Duuh hii balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi
Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri
Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma
Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie muungurumo wa simba akiwa nyuma yao na vimbwenga vingi lakini walijitahidi kukaza ili kutovunja sharti la kugeuka nyuma
Sasa ulipofika usiku majira ya saa 8 ikabidi waende makaburini kuoga ili kumalizia zoezi lao la mwisho ili wawe mamilionea
Walipofika makaburini wakavua nguo wote nakubakia uchi kisha wakapanda juu ya kaburi ili waoge
si unajua ukiwa katika ile mood flani hivi unaoga halafu umefumba na macho ili maji yasiingie machoni.
wakastukia tu paap! wameshikwa makalio kwa nyuma.
Aaah unaambiwa wote ilibidi wageuke nyuma kwa haraka huku wanakimbia na kupiga makelele
Kesho yake kijiweni wakaanza kulaumiana "aaah wewe ndiye ulizingua, we ungekausha bila kupiga mikelele mi nisingechochora kwani kushikwa tako kitu gani bwana" yani leo nisingekua nakunywa kahawa hapa ningekua nimejikoki huko kwenye hotel zinazotambulika na dunia"
Kuhusu mauza uza ya ziwa Victoria naelewa mkuu, kwenye maji kuona mtu amekaa juu ya maji ananyonyesha ama anapeta Mchele ni Jambo la kawaida, but nilichokataa Mimi ni hiyo story yako maana hata Mimi nilishaisikia hivo hivo kama wewe but ilikua Katika context tofauti na yako kitu kinachonifanya nione ni story ya kutungwaSikulazimishi ukubali ila nikwambia jambo moja tu ndugu, kwenye maji kuna vimbwanga hujawahi kufikiriaa. Hii alinihadithia mama yangu kipindi wanakwenda Bukoba miaka ya themanini ambapo meli ya Mv Bukoba ilikuwa ikifanya safari zake mchana.
Kuna pahali walifika wakawaona watu kila mtu na shughuli zake, wengine wakawa wanacheza tenis mixer tenis inagonga mpaka meli, wengine wanashughuli nyingine.
Nenda kasome kwenye kamusi usisumbue watu huku banaKabla ya kwenda kote huko, uchawi ni nini?
Do you know what The Socratic Method is?Nenda kasome kwenye kamusi usisumbue watu huku bana
Ni kubwa jinga huyo,anajua lakini anataka kubishana pasipo mantiki.Unataka ubishane huku mpaka lini watu wanatoa ushuhuda we bado unabisha, ukijibiwa hivi Hutaki sasa nenda goggle kawaulize uchawi ni nini.