Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbwa ni snitch alienda kupeleleza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah mkuu hizi zipo sana,ila mara nyingi ni misukule. Unaweza agiza msosi ukitoa mkona na yeye anachota. Yaan ni jino kwa jino hadi mnashiba wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wadau mna mikasa, sema kipururu nacho noma sanaa[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha haa huyo kweli Mwamba,,yuko ap asee?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana,ameanzisha Uzi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa 😂 😂 subiri kidogo ntakutag eti jitu linaanzisha uzi ili watu wachangie sasa ukimkosoa linaporomosha shombo za dagaa, sasa kwenye uzi kabaki mwenyewe kama mchawi kachoka kaukimbia na yeye mwenyewe 😂😂😂😂
 
Nina nyuzi nyingi mkuu kama hivi yaani





Beware unaingizwa kwenye bifu la upande mmoja. Huyo chizi wala sijishughulishi kumjibu(eti uzi umedoda ila kutwa yupo mule kuinjoi tamu za numbie)
Nimecheka sana,ameanzisha Uzi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahh savage!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitokea mtu anasema uchawi haupo walahi nitamuona ni mjinga wa millennia

Mwaka 2014 huko GEITA ktk mji wa katoro ktk shule inayojulikana kwa jina la Lutozo S/M kuna inshu za kishirikina zilijitokeza bayana pasipo chenga wala nini..ilikuwa hivi majira ya saa2 asubuhi baadhi ya wanafunzi waliokuwa wanaenda toilet walitoka kule kwa kupiga yowe na kudai kuwa kuna miswaki inaongea, jambo lile lilifika ktk uongozi wa shule lakini walipuuza kwa kudhani ni story za kitoto tu, lakini kufikia mida ya saa4 (break) miswaki ile ilikuwa inapiga kelele mithiri ya kwamba kuna gulio vile, baada ya hapo uongozi wa shule pamoja na wanafunzi wote waliongozana hadi choo cha shule, sasa kuna madame mmoja jina lake sefroser (aliwahi kuwa mwalimu wangu wa dalasa nikiwa la 4) alijitia kimbelembele aiseee akashika zile miswaki akazitia ktk moto zikaungua kabisa, kufikia kesho yake tu yule Madame aliaga dunia..R.I.P Madame sefroser.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Effects za uchawi ni zipi, na unajuaje hizi ni effects za uchawi tu, si kitu kingine chochote, ikiwa hata kuu define uchawi huwezi?
Unachekesha sana. Naomba nikuache na imani yako, wewe akili ulishaifunga sehemu moja na hutaki kuchunguza mengine. Haya, hakuna uchawi. Umefurahi sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…