Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Unalazimisha nitaelewa wakati sijaona ulipojibu swali na nimekutaka ujibu?

Wewe upo kichwani mwangu sasa?

Huu uvivu gani wa kujadili mambo kiasi ushindwe kufafanua maandishi yako mwenyewe?

Wewe ni mpumbavu au una hila tu?

Naona ushashindwa mjadala unaleta ujinga na uzushi wa kishenzi usio na kichwa wala mguu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ambao hawaombi,ni wazinzi na bado wanafanikiwa huwa ni nani anawafanikisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani pia anasaidia wafuasi wake ili motoni asiwe mpweke. Kama unaona wamefanikiwa tafuta siri ya mafaniko yao ndo utajua wamefanikiwa au wamefarikiwa. Uzuri wa gari sio rangi ni injini sasa wewe unatazama rangi, fungua injini zao uon uozo.
 
Wale ambao hawaombi,ni wazinzi na bado wanafanikiwa huwa ni nani anawafanikisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani pia anasaidia wafuasi wake ili motoni asiwe mpweke. Kama unaona wamefanikiwa tafuta siri ya mafaniko yao ndo utajua wamefanikiwa au wamefarikiwa. Uzuri wa gari sio rangi ni injini sasa wewe unatazama rangi, fungua injini zao uon uozo.
Bora na wachungaji mmekuja kwenye huu uzi, sasa Uzi umekuwa na kila aina ya watu, safi sana
 
Bora hujataja bangi kwenye hiyo list ya vitu vya kuacha.

I moved your cheese!
 
Ha ha ha ha ha ha hii mbinu nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kujibizana na huo ujinga wako,
Wala siko kushindana na wewe.

Nimekueleza matatizo yako ila kama unaona nimekuonea achana na hayo mawazo yangu kwako, ili maisha mengine yaendelee ndugu.
Relax
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kujibizana na huo ujinga wako,
Wala siko kushindana na wewe.

Nimekueleza matatizo yako ila kama unaona nimekuonea achana na hayo mawazo yangu kwako, ili maisha mengine yaendelee ndugu.
Relax

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaandika huwezi kujibizana, wakati kwa kuandika hivyo tayari unajibizana.

Unajua hata unachoandika ni nini?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisamehe mkuu,nilikosea wakati wa kufanya quotation
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliona nn mkuu. Ulichoona ndio Picha lenyewe. Hapa umetupa trela tuu.

Lete mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi ulikuwa mzuri na title yake inasema kwa waliowahi kukutana na nguvu za Giza walete Visa vyao Sasa Kuna mdada mmoja humu wa kiswahili anijiita kiranga anaprove uswahili wake wa kutokuelewa Mambo MAANA UNACOMENT KULINGANA NA HEADING Sasa Kama unawazo vice versa anzisha Uzi vinginevyo matatizo yenu ya kutokuelewa Mambo msiyalete humu mie namuomba tu huyu dada aache Mambo ya ligi za uswahili Mana hapa wanaoleta visa n wahanga nasio watengeneza Giza wao Hilo Giza walikutana nalo hvyo we DADA kiranga punguza ngonjera mie nlikublock Ila naona reply za watu nyingi zikikuleta ukiwa na ubushi wako wa kijinga.

Ukitaka kujua upo au haupo nenda bush Yan Kijiji kwenye maeneo mengi humu wameorodhesha take a tour & study then uje na mrejesho hauitaji kuwa na pesa nyingi Kama research za National Geographic tv n pesa kidogo tuu hata laki haiishi na 85% ya uhalisia utayapata kuliko kuketa ujinga wako wakitoto humu.

Nanyie mnaomuuliza maswali humu mnazidi kudumaza akilini zenu Mana Uzi unasema kwa aliekutana na kisa Cha nguvu ya Giza haya ya mpuuzi mmoja humu yanaharibu Uzi Mana Kuna watu humu wanajifunza, Kuna watu humu wameona Kuna namna ya kuachana na nguvu za Giza,na Kuna watu wameona Kuna haja ya kuzitafuta hzo nguvu za Giza hvyo watoto hasa Hawa wadada muwaache wakuwe siku wakipata yanayowasibu ndio watajua kuwa hvi vitu vipo.

MUACHENI HUYO DADA KIRANGA NA UJINGA WAKE
 
Me mpaka leo huwa nikikumbuka huwa machozi yanakaribia kunilenga ilikuwa hv cku hiyo ilikuwa jmosi huwa ni siku ya mnada ilikuwa mida ya saa 2 kasoro kulikuwa na mbalamwezi imeangaza sana kiasi cha kuweza kumjua mtu ambaye yupo umbali wa 50m ile ya kama jua la saa 4-5 hv tupo watatu kuna sehemu tumeagizwa na wazee kwenda kuchukua mzigo wake kwaajili ya safari ya kesho yake basi tupo na story zetu na kuna njia tuliikwepa ambayo ni shortcut kwa sababu hzo hzo huko kuna miti mikubwa imeshona sana na makazi yako mbali basi tupo na story zetu kuna barabara ni pana tu wala haina miti pako plain kabisa mara kwa mbali tukahisi harufu kama mtu anajisaidia haja kubwa na tukaona kama kuna mtu amechuchumaa mbele na tukaona kitu cheupe kama shuka lililokunjwa kwakuwa ilikuwa kiangazi na cku ya mnada tukajua mtu kanunua mifuko anaenda kuhifadhia mazao lakn kadiri tunasogea harufu inaongezeka tena kali zaidi ikabidi tupunguze mwendo lakn mtu huyo hakunyanyuka mpaka tukafika kama hatua 15-20 ndipo hali ikabadilika na kuwa joto la hatari sana niliskia mwili unasisimka ghafla ni kama upepo flani kitendo cha haraka sana tulikuwa mbele ya kitu kirefu sana na kuona kama giza mbele aiseeee tuligeuza kwa speed ya hatari sana niliwaambia wenzangu tunakufa ila mmoja cjui aligeuza saa ngapi maana kitendo cha kugeuka ashasepa huyu niliyebaki nae alikuwa mfupi nilimshika kwenye mkanda kiunoni tulikimbia jamaa akawa hagusi chini vzr tulikimbia mpaka barabara kubwa tukakutana na watu wanatoka mnadani walituuliza maswali lakn hakuna aliyeweza kuwajibu midomo ilikuwa na kigugumizi sana uzuri walitujua wakatupeleka nyumbani maana tulikuwa tunatetemeka sana hakuna aliyeweza kuhadithia chochote zaidi ya kutokwa machozi wote hadi kesho yake ndio tuliweza kueleza nini kilitukumba ila siku hiyo mzee aliogopa sana sitakuja kusahau kamwe labda lije litokee lingine zaidi ya hilo but namwomba Mungu aniepushie mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…