Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unalazimisha nitaelewa wakati sijaona ulipojibu swali na nimekutaka ujibu?Kiranga mbona kama umechanganyikiwa ndugu?
Nilichokueleza kipo wazi na kinaeleweka kwa kila mtu na kama wewe haujaelewa basi una matatizo yako binafsi.
Unataka nirudie kukuelezea ili ubishani uwe mkubwa zaidi?
na unasema nisiporudia kukuelezea nitakuwa sijui, maana yako nisipobishana na wewe nitakuwa sijui,
Narudia kusema, soma Post yangu ya kwanza kwenye huu uzi, post uliyo ni quote na utaelewa nilichomaanisha, na pia siwezi kurudia kukuelezea sababu naona unataka tubishane zaidi na mimi, ila mimi sina huo mda wa kubishana.
Swali la kizushi kwako Kiranga:
Inawezekana wewe ni mmoja wa owner wa JF hivyo ubishani wako unafanya uwe na hoja zisizoisha kimkakati ili JF iendelee kuwa na viewer wengi?
Nimeongea hivyo sababu nimejaribu kusoma kila hoja zako kwenye nyuzi tulizowai kukutana ila nimeona mara nyingi hoja zako ni za kufikirika, au ni wewe una matatizo binafsi kwa kuzani humu JF hamna mtu mwenye uwezo zaidi yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo kichwani mwangu sasa?
Huu uvivu gani wa kujadili mambo kiasi ushindwe kufafanua maandishi yako mwenyewe?
Wewe ni mpumbavu au una hila tu?
Naona ushashindwa mjadala unaleta ujinga na uzushi wa kishenzi usio na kichwa wala mguu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app