The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 204
Duh, ni hatari aisee. Najiuliza tu mfano wakiliwa na simba atakufa au?Hata kipindi cha nyuma tanga kulikuwa na mbuzi walipoteaga mwenye nao akajua wameibiwa basi akawasomea "albadiri" baadae akawaona akaambiwa awaache asiwachukue laasivyo albadiri yake itamzuru basi akawaacha
Aisee wale mbuzi walizaliana sana na walikuwa wakitembea kwa kundi wanazurura tu usiku utakapowafikia wanalala hapohapo na walinona kwelikweli wakionekana wanapita mtaani utaskia watu wanaropoka njooni muwaone wale "mbuzi wa albadiri " hakuna mtu aliethubutu kuwaiba huo msemo ukawa maarufu ulitumika mfano mtu anaweza akakutukana tu mfano mbuzi wa albadiri wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyoo kwl nakubalii umekutana na hayoo jamaa,kuna bxt angu kapangwa shule huko alihama bila kupenda kwan walikuwa wanaingia hadi kwny madomNlikutana na vibwengo laivu bila chenga...nikiwa same secondary...aisee usiombe ukutane na Hawa jamaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandiko...Congo, Wale waasi Wachawi balaa....una shoot ni karatasi tu zinatoka! Lakini walikaa na kagame wao, walale Salama Wenzetu mbele za haki,raia hawajui, hao waasi kuna muda sehemu za Tungi na mishe mko nao Marafiki kabisa.ila amri ikitoka hakuna namna
Naona hawajamuelewa
rombo ipi mkuu,ya huk kanda ya nyonyo au kilimanjaro?Mwaka flani wilaya ya rombo nimetoroka zangu shule usiku wa giza nene kias kwamba hata miti unaiona kwa tabu sana ,nikakatiza mitaa flani ilikua kipindi cha baridi lakini ghafla nikaanza kuhisi joto la hatari mara paaap kumekua kweupe kama mchana wa saa sita na jua kali aiseee nilitimua mbio ile hali ilidumu kama dk moja hivi
Ikawa mwanzo na mwisho kutoroka shule usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
sehem gan mkuu cz npo maeneo ya buzuruga hapa tupe konnekshen tusijejikuta tumepanga hukoUkweli uchawi Upo tena uhakika
Mimi Nina visa 3 mwenyewe kwenye maisha yangu.
Cha kwanza kilinitokea nikiwa na miaka 6 mwaka 92 na cha pili kilinitokea mwaka 2008 nikiwa mkubwa na elimu yangu kwa hakika uchawi Upo tena sana
Mwisho nilipanga nyumba mtaa wa mecco Mwanza nyumba nzuri ipo katikati ya nyumba nyingi sana nikalipa zangu kodi 1.5m kipindi hiko nimehamia mwanza kikazi Niko zangu single
Usiku nilichapwa viboko sijawahi Ona ananichapa simuoni kesho yake nikasema labda ndoto,saa 2 tu usiku bakora za kutosha,nikaamua kwenda kulala guest asee
Baada ya siku nikahama
Hii nyumba mpaka leo ipo pale mecco kwa ambao hamuamini uchawi nenda kashuhudie mwaka wa 6 haina mpangaji wala binadamu anaishi pale
Waganga na waombaji hawajafua dafu
Inasemekana walimuua mwenye nayo wakaidhurumu malipo ndio hayo.
Atakuwa anamshambulia kiranga
Kiranga ukibisha na hapa una lako jambo, shule usiku inakuwa treningoja tu nimalizie kisa changu kingine,but huwa nikimsikia mtu anasema uchawi hakuna namwangalia na kutikisa kichwa tu.
Nimezaliwa na mama ambae ni mgonjwa wa sicle cell hali iliyokuwa inamfanya mama yangu kuumwa mara kwa mara hasa mifupa na hata kuishiwa damu mara kwa mara naweza kusema mama yangu haikuwahi kupita week bila ya kuumwa au kulazwa hospitali,hali iliyopelekea kuwa anatumia mara kwa mara dawa za valium na hata wakati mwengine kuwa anajichoma mwenyewe sindano za valium ili apunguze maumivu apate usingizi,ilikuwa ni usiku wa saa 8 usiku nimelala na bimkubwa naskia anaugulia maumivu makali mno ya mifupa,nikaanza kutafuta dawa hakuna sindano wala vidonge na nyumba tulikuwa mimi na yeye tu wakati huo simu ni anasa na usafiri huu wa boda boda hakuna na gari ilikuwa saa 4 mwisho, basi kila akiugulia maumivu akili yangu inahangaika mwisho wa siku nikamchukua nikamuweka mgongoni kulikuwa kuna dispensari fulani hvi ipo kigoma ujiji na sisi wakati huo tunakaa bimala kwa wenyeji wa kigoma wanakujua ni umbali wa kama dakika 10 kwa gari,basi nikamuweka mama yangu mgongoni safari ikaanza wakati huo nina umri wa miaka 12 tu,tembea sana kila nikiskia anazidi kuugumia na mm ndo naongeza spidi,basi tukafika sehemu moja inaitwa shine cinema ni ukumbi fulani hivi walikuwa wanaonyesha movies na pembeni kuna shule ya msingi ujiji, baada ya kufika pale ile shule tuliona imegeuka treni watu wanashuka na kupanda wakati huo upande wa pili kwenye ule ukumbi kwa nje tukaona watu wengi mno wapo nje wanapiga kelele mno wanasherehekea wako uchi wa mnyama wanauza vichwa vya watu ulimi na viungo vingne vya binadamu na kulikuwa kunanuka damu kweli kweli cha ajabu ajabu kufika pale nikashikwa na bumbuwazi kiasi cha kanga kulegea bimkubwa akaanguka lakini kwa kusimama sasa alivyofungua macho kuona kilichopo mbele yetu nilishangaa tu amenibeba juu alitoka mbio za ajabu huku akiwa amenibeba mgongoni mpaka ujiji kwenye ile dispensary alivyofika tu akazimia pale pale nakumbuka alikuja kuzinduka siku ya tatu na mtu wa kwanza kuniita alivyoamka tu nilikuwa mimi alinikumbatia na kuanza kulia sana(kisha akanitamkia nimekusamehe leo na siku zote za maisha yako) kauli hii aliirudia akiwa anafariki ndani ya mikono yangu mwaka 2007 kwa kunambia(nakufa mwanangu nakupenda sana na nakufa nikiwa radhi nawe uishi maisha ya kumpendeza mungu na uwapenda nduguzo kama ulivyokuwa unanipenda mama yako)
R.I.P my beloved mom
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria ukiwa unamkojozaHilo neno umelitaja kihisia mpaka umenisisimua kumoyo princess ariana
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhHakuna ulipoeleza sababu ya wewe kufikiri nayafanya maisha yangu kuwa magumu.
Nataka unieleze kwa nini unafikiri nayafanya maisha yangu kuwa magumu.
Ama sivyo, ukishindwa kunieleza hili, kubali hujui hata unachoandika mwenyewe ni nini.
Kuniambia nisome ulichiandika wakati ninesoma na sijaona ulipoelezea hiki si jibu.
Ni kukubali kwamba huna jibu.
Kwa msingi wako huu, kila mtu anapoulizwa swali ambalo hana jibu anaweza kujibu kirahisi tu, "soma nilivyoandika".
Umeandika nini?
Wewe mwenyewe unaweza kufafanua hayo uliyoandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hata mwala haujaumaliza jf unaleta ujuaji,na unabishana na wakongwe,shame on you son of idiots
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umerukwa na akili,na ni mgeni humu,ona hadi umeonekana mpuuzi kwa komenti za kukurupuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi umeanza kuwa mbaya baada ya watu kuhangaika na kiranga badala ya kutoa ushuhuda.
JINA LA UZI LINASEMA ALIYEWAHI KUSHUHUDIA USHIRIKINA, kiranga anadai hajawahi, basi muacheni msimlazimishe kuamini kitu ambacho hajawahi kushudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndgngoja tu nimalizie kisa changu kingine,but huwa nikimsikia mtu anasema uchawi hakuna namwangalia na kutikisa kichwa tu.
Nimezaliwa na mama ambae ni mgonjwa wa sicle cell hali iliyokuwa inamfanya mama yangu kuumwa mara kwa mara hasa mifupa na hata kuishiwa damu mara kwa mara naweza kusema mama yangu haikuwahi kupita week bila ya kuumwa au kulazwa hospitali,hali iliyopelekea kuwa anatumia mara kwa mara dawa za valium na hata wakati mwengine kuwa anajichoma mwenyewe sindano za valium ili apunguze maumivu apate usingizi,ilikuwa ni usiku wa saa 8 usiku nimelala na bimkubwa naskia anaugulia maumivu makali mno ya mifupa,nikaanza kutafuta dawa hakuna sindano wala vidonge na nyumba tulikuwa mimi na yeye tu wakati huo simu ni anasa na usafiri huu wa boda boda hakuna na gari ilikuwa saa 4 mwisho, basi kila akiugulia maumivu akili yangu inahangaika mwisho wa siku nikamchukua nikamuweka mgongoni kulikuwa kuna dispensari fulani hvi ipo kigoma ujiji na sisi wakati huo tunakaa bimala kwa wenyeji wa kigoma wanakujua ni umbali wa kama dakika 10 kwa gari,basi nikamuweka mama yangu mgongoni safari ikaanza wakati huo nina umri wa miaka 12 tu,tembea sana kila nikiskia anazidi kuugumia na mm ndo naongeza spidi,basi tukafika sehemu moja inaitwa shine cinema ni ukumbi fulani hivi walikuwa wanaonyesha movies na pembeni kuna shule ya msingi ujiji, baada ya kufika pale ile shule tuliona imegeuka treni watu wanashuka na kupanda wakati huo upande wa pili kwenye ule ukumbi kwa nje tukaona watu wengi mno wapo nje wanapiga kelele mno wanasherehekea wako uchi wa mnyama wanauza vichwa vya watu ulimi na viungo vingne vya binadamu na kulikuwa kunanuka damu kweli kweli cha ajabu ajabu kufika pale nikashikwa na bumbuwazi kiasi cha kanga kulegea bimkubwa akaanguka lakini kwa kusimama sasa alivyofungua macho kuona kilichopo mbele yetu nilishangaa tu amenibeba juu alitoka mbio za ajabu huku akiwa amenibeba mgongoni mpaka ujiji kwenye ile dispensary alivyofika tu akazimia pale pale nakumbuka alikuja kuzinduka siku ya tatu na mtu wa kwanza kuniita alivyoamka tu nilikuwa mimi alinikumbatia na kuanza kulia sana(kisha akanitamkia nimekusamehe leo na siku zote za maisha yako) kauli hii aliirudia akiwa anafariki ndani ya mikono yangu mwaka 2007 kwa kunambia(nakufa mwanangu nakupenda sana na nakufa nikiwa radhi nawe uishi maisha ya kumpendeza mungu na uwapenda nduguzo kama ulivyokuwa unanipenda mama yako)
R.I.P my beloved mom
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu inafurahisha kwamaneno hayo uliyotamkiwa namama, pia inasikitisha pia rip mama zetungoja tu nimalizie kisa changu kingine,but huwa nikimsikia mtu anasema uchawi hakuna namwangalia na kutikisa kichwa tu.

[emoji16][emoji16][emoji16]Wakuu nakumbuka enz nasoma primary kila tukienda chooni tunaskiaa harufu za pilau au vitu vinanukia vzr. Bhs nakumbuka siku rfk angu alirud speed class mpaka kuanguka kuuliza alisema kakuta sinia la pilau choon, watu wanamwambia njoo ule[emoji1316][emoji1316]
Sent from my iPhone using JamiiForums