Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

ni kweli unavyosema wachawi wana alama zao, nilihadithiwa na binti wa kike aliekuwa housegirl kwenye nyumba moja kbl hajaombewa na kurudi ktk hali yake ya kawaida. Ni kwamba, mtu anapopelekwa uchawini kwa mara ya kwanza huwa wanachanjwa, na hizo chanjo zinawafanya watambuane hata ktk maisha/dunia yetu hii ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh... haya Mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ndio nguvu ya imani, ni vyema kila mtu aitumie, itumie serious kwa kuamini, ukisali/omba usijidharau wewe mbaya, una dhambi, au lolote lile, omba kwa imani utafanikiwa utakacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii njia yakuandika inakuwaje mpendwa? Au unaandika kile unachopenda Mungu akutendee? Samahan msaada hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes unaandika unachopemda Mungu akutendee mfano unachukua rimu unaandika kwa herufi kubwa pale juu MAHITAJI YANGU then chini unaandika
mfano
1, nahitaji nipate mtu sahihi wa kuninyanyua nipate ajira
2, nahitaji mtoto
3, nahitaji baba/mama apone ni hivyo ila unaweza andika vyovyote tu haina formula na Mungu atatenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Mungu ni mkuu
 
hii ndio nguvu ya imani, ni vyema kila mtu aitumie, itumie serious kwa kuamini, ukisali/omba usijidharau wewe mbaya, una dhambi, au lolote lile, omba kwa imani utafanikiwa utakacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu maana binadamu wote tunadhambi muda wote za kutenda au kuwaza ila tukiomba kwa imani tutapata mahitaji yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMANI...
 
Ukiandik... Nin kinafata. Mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naukimaliza maombi siunaweza kuichana2 hiyo karatasi? Je nawakati wamaombi hiyo karatasi unaishika mkononi au unaiweka wapi kwamfano unaomba huku umepiga magoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naukimaliza maombi siunaweza kuichana2 hiyo karatasi? Je nawakati wamaombi hiyo karatasi unaishika mkononi au unaiweka wapi kwamfano unaomba huku umepiga magoti

Sent using Jamii Forums mobile app
karatasi unaweza iweka mbele yako au ukawa umeishika na unaweza kupiga magoti (hii inanguvu sana nimeshuhudia) pia inategemea unasali siku ngapi ukimaliza hizo siku za kusali utaichana tu.... mfano mimi nilipanga kuomba siku 7 mfululizo kuanzia saa 5 ila siku ya 3 nikapata baraka zangu nilimalizia siku 7 then nikaiweka tu sehemu ila kama unataka unaichana baada ya maombi kama siku 1 sawa ichane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimkosea nini mpaka akasema amekusamehe?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…