Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Anaweza kua na kitu mfukoni ,akachanjiwa au akaweka mdomoni.Mkuu ongezea nyama zaidi kwenye maelezo.
Hapa mtongozaji anakuwa na kitu mfukoni mwake? Mdomoni au amechanjwa?
Tupe uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ilivyo na mengi ya kustaajabisha inawezekana kidato cha nne somo la kiswahili ulipata F= wakaidhulumu
Usishangae Ni GPS ya mwenye Lori lake
Tatizo umeandika Nani Ngabu wakati mimi namzungumzia Nyani Ngabu.Nani Ngabu mwenyewe kaenda US kwa msaada wa wataalam kutoka Gambosh.
Acha kubisha bisha kwenye mysterious things.
Uchawi hauchunguzwi kwa darubini wala telescope.
Sent using Jamii Forums mobile app
VidonoHii imetokea wiki iliyopita jumatano..
Nilienda kumtembelea rafiki angu fulani tumeanza nae lakwanza ila alipofika form four alifukuzwa shule, sababu kuu alipiga ofisi nzima ya walimu akiwa mwenyewe. Walimu walikua wanatumia kumpiga na viti ila hakutoka hata nundu ila walimu wote wa kiume aliwachakaza vibaya..
Je aliwezaje kuwapiga mwenyewe.?
Huyu rafiki angu alichanjwa dawa fulani inaitwa Vidono ambavyo vinamuongezea nguvu pia ukimpiga kwa siraha yoyote ile haumii wala kuvimba. Siraha inayoweza kumuumiza mtu mwenye vidono ni wembe tu kwakua wenyewe ndio ulio mchanja dawa.
Sasa siku hiyo jumatano tukawa tunakumbushia tukio hilo la kupiga walimu nikamwambia wale walimu wangejua wangechukua nyembe wangekuweza..Akasema kwake hata wembe haufanyi kazi maana kidono alichokula ni extra ordinary wembe haushiki. Nikabisha.
Alinieleza kua yeye ukimchana na wembe unaweza kumchana ila damu hazitoki kama mimi na wewe zinavyotoka..ukimchana zinaganda hapo hapo. Nikabisa.
Alienda chumbani akachukua wembe akajichana kwenye msuli wa mkono damu zilitoka kweli lakini hazikutiririka kwa maajabu kabisa baada ya dk tano kile kidonda kilikua kimeshapona kabisa kama hakuna kitu kilichotokea.. Nilishangaa sana hili tukio.
Nafahamu aina nyingi za vidono na nishawahi kuwa navyo siku za nyuma ila cha huyu jamaa ni kiboko akanieleza jinsi alivyochanjwa weeee na madawa yakiyotumika nikabaki nimeduwaa..
Hua twaona tu kwenye muvi za X men wolverine anachanwa kisu hapo hapo anapona ila hiyo siku nilithibitisha kua things are real in this world.
Niliharibu vidono makusudi kabisa maana mm sio mgomvi wala sijichanganyi kwenye makundi ya watu ila hua nikifikiria wale wahuni wa Kigigo,gongolamboto,Karakata,Sombetini,Ngarenaro, mianzini,Matejo,Sinoni,ungalimited No way itabidi nivitafute asee
Wataalam nina swali hapa kuhusu mambo haya tunayojadili
Kun mdau huko nyuma kaeleza kuhusu mwanafunzi mmoja kufanya mapenzi na wasichana karibu mabweni mawili usiku bila wao kujitambua. Je, huyo alikuwa mchawi au ni mtu tu wa kutumia madawa?
Halafu swali ambatatano;
Nasikia kuna watu wanatumia madawa kutongozea wanawake (yani anampata mwanamke yeyote anaemhitaji kupitia madawa)
Je, hii sayansi ipo ama ni fix?
Yani mwanamke yeyote kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa mchawi huyo maana kutajwa kwa makanisa kunamuumiza Sana nafsi yake.
Wote wanaotokwa na povu wapuuzieni tu,
mahondaw, Tanayzer endeleeni kutiririka tuendelee kujifunza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Connection... Connection..[emoji3]Ni makubaliano Kati ya wewe na mshirika(Mchawi).
Kuwaona ndiyo lazima uwaone na uchague yupi ana afya na atafaa kwa shughuli utakayoitaka.
Kuwasimamia hapana ila utaenda kutazama ikiwa wamefanya Kama ulivyotaka wanajisimamia wanapangana kazi ,muda wa kazi utakapoisha watarudi/watarudishwa mahala wanapohifadhiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kuwa dini tofauti hakutuzuii kuandika tunachokiamini.Pengine ukiona hivyo amiini katika dini
Labda ni kweli ni mchawi
Labda alikuwa na imani ikapungua ikatetereka baada ya kuona muumba anayemuomba amsikilizi amemletea maumivu na masononeko makubwa mnoo na kumchukulia vitu, watu wa muhimu kwake ilihali amebariki wengine na furaha na vitu na watu wa muhimu yaani kama kuna ubaguzi na kaupendeleo Fulani hivi so hakuna haja kuendelea kuomba au kuamini maana kuna upendeleo
Pengine labda kajiskia kuandika tu
Pengine ye dini tofauti na hiyo inayozungumziwa
So hao watu waacheni tu msiwajibu [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuombe uzima kuhusu hicho kidono lazima nikutafute unipe ramaniOk.. muda ukifika nitafute tuone twafanyaje
Msukule hautumiwi na mshirikina peke yake Mkuu,Mimi nilinunua Mara moja nikashindwa masharti nikamrudisha,so nikawa nalipa fedha kwa Mshirika(Mchawi) Nampa na eneo nalolitaka kufanyiwa kazi na si kilimo pekee kazi nyingi wanafanya tofaut na ulimaji.
Hapana Mimi si mshirikina mteja wao tu kwa wakati huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaMama yangu mzazi na Bibi mzaa baba hawa watu nawaogopa sana..sio kwamba ni wachawi no ila Nadhani wana nguvu fulani hivi ya Asili (Psychic Power/Nature's power) kama umesoma mambo ya roho na akili utanielewa.
Mama angu akikuambia usifanye kitu kweli usifanye..ukifanya kitakachokupata shauri yako. Siku moja nilichukua pikipiki Akanikatalia rudiaha ndani mm nabisha nasema haiwezekani ipo ndani afu mimi sijui kuendesha, kakataa mimi nikangangana. Akanimbia endesha ila kitakachotokea utajiju.
Nikaitoa nikaiwasha pale pale pikipiki ilinirusha juu kidogo nivunje kichwa sijui hata niliponaje..nikarudisha ndani.
Nikiwa mdogo nilikua nachezea shoka Akanimbia acha kucheze shoka mm naendelea kuchezea shoka kama gari yaani haikupita dk 5 shoka ilinipiga kwenye ugoko hadi mfupa nikawa nauona..alinidunda kwanza ndio akanipa first id. Yapo mengi sana huyu mwanamke kayatenda naona.
Nilichogundua ni muoga sana kwetu wanawe hataki tufanye kitu cha hatari na ukifanya kama hajaruhusu moyo wake lazima yakukute mambo..Mwaka 2015 aliniambia siku nikinywa pombe kitakachonipata nitasimulia. Vijana tuna mambo mengi kwa dunia ya sasa mpaka sasa nishakunywa kama mara 4 na mara zote hizo hua naugua sana full kutapika hadi damu mapuani. Hapa nampango nimbembeleze avunje maneno yake haya maana maisha haya pombe kila mahali.
Wadogo zangu washateuka sana mikono kwa kutomsikiliza. Yaani ukimshirikisha kitu kama asipokubali kwa moyo mmoja hukitimizi ng'o. Sasa hofu zake zinatukosesha mengi.
Kwa bibi yangu yeye ni tofauti. Yeye akiwa anasononeka ajili yako ujue unalo.
Siku moja nikikua naenda sehemu fulani ila bibi akawa na na mikwaruzano na baba juu yangu. Akawa anasononeka ajili yangu, binafsi hakupenda niende hiyo sehemu.
Safar ilikua ya masaa 10 ila yaliyonikuta njiani sitasahau. Nilipata ajali mara tatu. Yaani unatoka ndani ya gari unawaza hapa tumepona vipi. Mara tatu nikibadirisha gari maana zilikua zinaharibika kabisa.
Ila ya mara ya tatu ndio ikawa bab kubwa maana tuligongana uso kwa uso, kidogo nivunjike miguu Niliumia vibaya sana miguu maana nilikua kwa dereva huko.
Nikamwambia baba kua nimepata ajali tuliyegongana nae kafariki. Baba ndio akajiongeza akamfuata bibi kumakalipia kua kama ikitokea nimekufa atanila nyama mbichi. Bibi kusikia hvo aliogopa maana ananipenda sana (nina jina la mumewe) So ilibidi aache kuwaza waza kuhusu mimi ili nifike salama.
Kuna watu wameumbwa na midomo mibaya akikusemea kitu lazima kikupate tu. Bahati mbaya hawa watu hua hawaelewi nguvu walizonazo wanasemea watoto zao mabaya tu.. laiti wangekua wanayatumia kunenea mafanikio ingekua vizuri sana.
Duh Mbona hasara sanaVidono
Uchawi wa watu wa kigoma.usithubute Mr polymath
Siku unakata roho utateseka sana nishashuhudia waliochanjwa wakifa huwa wanaangaika sana mpaka huruma wanakiona chamoto
Halafu sasa unachanja nadhan ni shida unajitafutia maana kuna wengine ukiwapiga panga hawakatiki sindano haipiti siku ukiumwa ukiitaji sindano hapo ndo hatari unaumbuka [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyingine Sumbawanga wakati wa Ujenzi wa shule za kata ile wananchi kuchangia nguvu kazi, mzee mmoja alikuwa haendi wala nini... Afisa Mtendaji wa kata akampa adhabu kuwa hadi kesho yake asubuhi wakute kasomba tanuru mbili za tofali na kusogeza site, vinginevyo atapelekwa polisi. Mzee akasema sawa nitafanya usiku.
Asubuhi wanaamka, tanuru halipo, ila Kijiji chote, wazee, watoto, watumishi kanisani hadi Mtendaji kata wapo hoi, wamechafuka umbi la tofali. Mzee hakuguswa tena na kazi za jamii...
Duuuuh mkuu ilikuwa mwaka gani hii? maana nmesoma pale Gamba boys 2005Kisa cha kwanza ambacho kinanivutia hadi leo ilikua mwaka 1998, Niko na jamaa yangu, Tunatokea Shule ya Wasichana Kifungilo tunarudi shuleni kwetu Magamba Secondary (now Sebastian Kolowa University)! Usafiri miaka ile usafiri ulikua wa shida sana, tukawa tunasubiri usafiri pale Lukozi, SAA Tisa au kumi hivi jioni. Mvua ikaanza kunyesha, wenyeji wakasema kuwa Mvua haitanyesha kwa kuwa Mzee Fulani yuko shambani kwake anauza mapeasi yake.
Ghafla yule Mzee akawa anapita, aiseee seriously kwa Mara ya kwanza tangu nizaliwe sijawahi kuona MTU hanyeshewi na mvua! Yaani mvua inanyesha lakini yeye hanyeshewi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote uchawi una hasara hauna faida
Hata Mimi naonaLikitajwa jina la Yesu mapepo, wachawi, majini,mashetani na ndugu zake wanataabika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa style hii lazima mtu apate shida kufa.Siku zote uchawi una hasara hauna faida
Na wakichanjiwa navyo wanakuwa na nguvu balaa mwanaume mmoja ana nguvu za wanaume kama kumi wa mikoani kwa hyo hawa watu sio wa kugombana nao watakupoteza mtu gani anapigwa hatoi damu ,hachaniki
Mfano kama kuna kundi mmekaa kuna watu wana vidono wamechanjiwa ikitokea mmoja ametibuka au vimpenda kichwani wakaribu yake kama wanavyo nao wanatibuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.I don't care madame