lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
wachawi noma,unaweza kuta wewe ni mrembo sana,ukaliwa kimasihara kichawi na mwanaume mbaya kuliko wanaume wote,tena mzee halafu kikongwe asiekua na familia na wala hakuwahi kuwa nayo kabisa maishani,bila wewe kupenda.
Pole sana kwa hayo mambo ya kusingiziwa.Mimi huwa nafuatilia mada zako vizuri sana humu ndani,ni nzuri,na unaonekana ni mtu mwenye akili na muungwana sana.Nakuomba uanzishe thread inayohusu hayo matatizo yako ya kusingiziwa vitu,watu watapata elimu, na utapata mawazo mazuri ya kusolve hiyo mambo.Sihusudu Ushirikina ujue.. Ila madame wahuni wakikuotea na Kukutoboa ndio utakumbuka.
Sifuatilii yoyote yanayohusu vitu hvi ila Nina mkosi wa kusingiziwa mambo mimi acha tu..
Ngoja nijifikirie..ikinipendeza nitaweka.
Sisi wa Masaki tunafuatilia huu Uzi kwa ukaribu sana mkuu... [emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaweza kufanya hvo kiongozi wangu..Mkuu tuombe uzima kuhusu hicho kidono lazima nikutafute unipe ramani
Sent using Jamii Forums mobile app
1995Duuuuh mkuu ilikuwa mwaka gani hii? maana nmesoma pale Gamba boys 2005
Sawa mkuuSitaweza kufanya hvo kiongozi wangu..
Na nitakua sipo maeneo haya tena.
Hizi story nazifananisha na zile za zimwi, vibwengo, shetani ana mguu mmoja wenye kwato, mumiani (nyonya damu), chunusi, ukimuona albino tema mate mara 7 kwenye kifua chako, mtu amechukuliwa msekule n.k.... all of these are storytelling and myth.
Alafu ukichunguza story hizo ni za maskini tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu side effects zake.
Maana kama huyu rafiki yeye ukimchoma kisu hakiingii ila panatoka kanundu kadogo tu ila baadae kanapotea.
Halafu dawa aliyopewa imechanganywa na Mifupa ya mbwa mwitu so ukifika mwezi mpevu anapata shida sana. Si ushaona muvi za Teen wolf au Twilight saga
Mi naskiaga tu almaarufu kwa jina la ndere ila naskiaga ikiisha makali unakataliwa hadi na kuku utakuwa na gundu balaa baada ya kuenjoy kwa mda hiyo ndo inaitwa price hapo ndo unalipia [emoji3]
All magic comes with a price..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Gambosh iwe mysterious place wakati ni eneo lipo kama maeneo mengine?Mysterious ni suala la kuhusiana na maajabu, lisilojulikana vizuri.
We unatafuta Gambosh Google wakati huko ni kijiji cha jirani kwao Nyani Ngabu na yeye ana habari zote za huko.
Na anasema hakuna uchawi kama inavyodaiwa na watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kijana wa mjini.Sisi wa Masaki tunafuatilia huu Uzi kwa ukaribu sana mkuu... [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi
Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri
Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma
Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie muungurumo wa simba akiwa nyuma yao na vimbwenga vingi lakini walijitahidi kukaza ili kutovunja sharti la kugeuka nyuma
Sasa ulipofika usiku majira ya saa 8 ikabidi waende makaburini kuoga ili kumalizia zoezi lao la mwisho ili wawe mamilionea
Walipofika makaburini wakavua nguo wote nakubakia uchi kisha wakapanda juu ya kaburi ili waoge
si unajua ukiwa katika ile mood flani hivi unaoga halafu umefumba na macho ili maji yasiingie machoni.
wakastukia tu paap! wameshikwa makalio kwa nyuma.
Aaah unaambiwa wote ilibidi wageuke nyuma kwa haraka huku wanakimbia na kupiga makelele
Kesho yake kijiweni wakaanza kulaumiana "aaah wewe ndiye ulizingua, we ungekausha bila kupiga mikelele mi nisingechochora kwani kushikwa tako kitu gani bwana" yani leo nisingekua nakunywa kahawa hapa ningekua nimejikoki huko kwenye hotel zinazotambulika na dunia"
Nadhani na wewe ungenipinga kwamba story za nyonya damu zilikuwa sio uzushi... sasa kuandika hivyo ndio nimewakejeli.Tunakubali kupingwa, lakini kwa hoja zenye mashiko.
Matusi, kejeli na kebehi ni ishara ya kupungukiwa busara.
Sent using Jamii Forums mobile app