Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

yna2, Hii Kuna nyumba moja hapa mtwara, imeshauzwa mara nane, kila ananunua hakai anapiga mnada,..... Chanzo aliyeuza alikuwa na wake wawili.... Sasa alikuwa na madeni bank, akamuomba mke mkubwa auze nyumba yake, mke mkubwa akakataa akamwambia akauze ya bi mdogo, mume kwa kiburi akauza ya mke mkubwa heheheheheh balaaaa mke mkubwa akaenda kwa mganga Ile nyumba anaenunua akiingia ndani anakuta miti tupu mle ndani yaani poriii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwisho wiki zilizopita imetangazwa kuuzwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
digba sowey, Duh, mimi nimeshuhudia uchawi wa kutisha kwenye nchi moja inaitwa Tanzania.
Kuna li Chama inaitwa CCM, tangu mwaka 1961 hadi leo 2029 watu wanalala kwenye nyumba Kama mabanda ya nguruwe na kula yao ni taabu lakini wanavumilia tu badala ya kutumia nguvu kuyatoa ma CCM, ama kweli uchawi upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna watu wanajua kuroga jamani..khaaa!! Msituuu....!!?? Nimejikuta navuta picha nje mjengo fresh ndani Kuna msitu...[emoji23][emoji23][emoji23] Daah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mama mmoja hapo Lindi, mwanawe wa kiume alioa, sasa yule mama hakumpenda binti aliyeolewa na mwanawe...... Akaenda kwa mganga ili awaachanishe, mganga akamwambia atampa dawa ambayo mtoto wake akilala na mkewe atageuka nyoka, yule mwanamke ataogopa atadai talaka,,, basi huyu mama akakubali mganga akatoa dawa, yule mama akamuwekea mwanawe kwenye chakula, ikawa ikifika usiku yule kijana akilala na mkewe anageuka nyoka, yule mwanamke kavumilia wiki Tatu, ikabidi aende kwao, wazazi wake wakamwambia afate talaka, akafuta na akapewa..... Kazi ikabaki kumrudisha kijana kwenye hali ya kawaida, yule mama akarudi kwa mganga kumwambia kazi imekamilika, hivyo anaomba mwanawe arudi kibinadamu, mganga akamjibu "nina dawa ya kumtengeneza awe nyoka tu sina ya kumrudisha kwenye hali ya kawaida" yule mama aliliaaaa,,,,,,.... Na huku home kijana anamwambia mama yake afanye amrudishe kwenye ubinadamu wake, basi hapo nyumbani taflani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna watu wanajua kuroga jamani..khaaa!! Msituuu....!!?? Nimejikuta navuta picha nje mjengo fresh ndani Kuna msitu...[emoji23][emoji23][emoji23] Daah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Achaaaa Kuna watu ni washenzi, sisi tumeshawahi kaa home unakuta mpo zenu mnapiga story kitu kinacheka ukutani , "hahahahahaha " na mkiangalia hakuna kitu... Tulipata tabu hapo watoto kila siku homa za ajabu tembea hospital maliza mno pesa hakuna ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Huko huko mtwara?...mmhh na uoga huu jamani...ikawaje ? Mlihama au aliacha kucheka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bakora za kutosha kudadadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Njemba Njemba namfahamu aliwahi kuleta maiti pale lake tanganyika mechi ya Yanga , kipindi hicho kigoma KUna Mbanga FC ilikuwa inacheza ligi kuu.....


Nimeshuhudia mambo na kusikia mambo Yake mengi ... Ujiji ni hatari usijifanye mjuaji kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilwa hiyo mama, acha kabisa..... Tuhame wakati kwetu, ilifanyika kazi ya ziada tu sikuhizi Pana amani.... Palikuwa na vituko yaani kila nikikumbuka sina hamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee..poleni jamani..sijawahi kutana na vimbwanga ila nakumbuka zamani hivi tupo wadogo tukikaa ndani utasikia vishindo juu ya bati..Yani Kama watu wanaruka ruka mama angu alikuwa anawaambia mkimaliza mseme ili tulale..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini uwongo m'baya uchawi unarudisha sana maendeleo nyuma.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwana kulitafuta mwana kulipata..mganga kamkomesha..wamama wengine bwana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfijinja dah!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…