Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Hahahahhahahahaha, mie bi mkubwa alikuwa akiona wanasumbua anaamka anatukanaaa, kisha analala
Aiseee..poleni jamani..sijawahi kutana na vimbwanga ila nakumbuka zamani hivi tupo wadogo tukikaa ndani utasikia vishindo juu ya bati..Yani Kama watu wanaruka ruka mama angu alikuwa anawaambia mkimaliza mseme ili tulale..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa number mbili na tatu vinahusiana vipi na uchawi.... Kipi cha ajabu hapo kuzimia au kuugua uchizi ghafla?
Izo ni imani zako tu... Hakuna iyo kitu.

Alafu unataja kijiji unasema shule x ndio nin... Wakati inaeleweka kijiji kina primary moja secondary moja... Vichache saana vina nyingi.

Tukiamua kukusaka tunaanza na iyo wilaya tu hata hakutokuwa na tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi umejaa mashuleni na mavyuoni
Mmmh hao watu nawaogopa kabisa, Nilipokuwa kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita.
week mbili kabda ya necta niliumwa sana. Kiasi kwamba nilikuwa maututi. Ikumbukwe nilikuwa mwanafunz ninayefanya vzr zaid darasani

Siku ya necta ilikuwa ngumu kwangu siku ya mtihani wa kwanza niliumwa mno ila nikiingia kwny mtihani tu .
Nikitoka napona

Siku ya pili nikiingia naumwa nikitoka napona mpaka namaliza mitihani shughuri ilikuwa hivyohvyo.
lla nilifaulu vzr na kwenda kidato cha tano. Ingawa si vzr sana. Coz nilikuwa nategemewa kuleta mapinduzi kwny ile shule.
Ila hali ilijirudia Nilipokuwa nafanya necta ya form 6.
Mpaka Leo sijuagi behind the seen ya kuumwa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee..poleni jamani..sijawahi kutana na vimbwanga ila nakumbuka zamani hivi tupo wadogo tukikaa ndani utasikia vishindo juu ya bati..Yani Kama watu wanaruka ruka mama angu alikuwa anawaambia mkimaliza mseme ili tulale..[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mkimaliza mama kapinda😄😄😄
 
daah mkuu sisi tunaotoka kigoma ndo tunamjua huyo juma njemba ila asiyemjua hawezi kuamini kisa chako,Juma Njemba alikuwa balaaa sana
Watoto wa Dar hawawezi kumjua Huyo mwamba ... Laiti kipindi hicho kungekuwa na hizi social networks Kama Instagram na Facebook Basi huyu mtu angekuwa maarufu kuliko hata Diamond... Kuna story zake tukizitoa hapa watu watasema ni story tu...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikulazmishi kuamini but kma kuna mtu alishawahi kuishi kigoma muulize jna hlo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahis sana kuchanganya uongo na ukweli na story ikawa kama ya ukweli.

Huyo jamaa alikung'ata sikio wakat umeelezea alikua na nguvu za kutosha za kuua majambazi na silaha zao. Wew enzi hizo na udogo wako ukapona khaaa...

Ni chai bila mkate tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jerrybanks, Nilisimuliwaga ; Kwamba ukienda kwa mganga labda ili kumdhuru mtu ukitaka auwawe na simba/Nyoka etc dawa ya kuunda simba inakua (labda) kama punje za mahindi unawekewa mkononi unasema maneno basi yule kiumbe anatokea akishaenda kumdhuru mlengwa jukumu lako kama muunda Killing machine yule kiumbe akirudi ukuwekee unga mkononi alambe anabadilika anarudi kama zile punje za awali.

wengi wao wanashindwa wanaishia kufa kwa ajili (unaambiwa) kiumbe kinaporudi huko kama ni Simba basi amefura anahasira na madamu mdomoni ,kitu cha kutisha ule ujasiri wa kukaa utulie aje alambe unga unakutoka ukikimbia ndio anakutafuna na wewe, imagine nyoka anavyofoka vile unaanzaje kukaa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaweka Barrier
Katika kijiji chetu M.kulikua na mzee mmoja naitwa Kapesa Alitangaza kukihama kijiji chetu ikapita kama miaka5 hivi akaja mganga kutoa uchawi pale kijijini walipofika kwa Yule mzee alipo hama mganga akacheka sana kisha akauliza mwenye nyumba hii munamjua watu tukajibu tunamjua mzee kapesa na Alishahama miaka mingi2 mganga akasema hajahama yupohapa tukajua mganga anatudanganya akamwaga maji kwa Ile nyumba kilichotokea mzee tukamuona kakaa ktka kiti cha Kulala kavaa msuli yupo na mkewe anasuka mkeka .Ile nyumba Ilikua inaonekana imechaa ikawa inaonekana Ipo kawaida .askali mmoja alikua haamini uchawi alikubali na kumpa mkono mzee kapesa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom