Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kichwa Ni kwa ajili ya supu,matiti na maini Ni nyama laini,Mara nyingi wakuu huwa ni watu waliokwenda na umri kiasi,nyama nzuri na laini iwafaayo ni hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app


Aisehhhh! !

sasa mkuu wachawi huwa wanafanyeje mpaka unaeza kuta mtu labda wamekuja kukuchezea unakua kama unapiga kelele za kuomba msaada lakini hata uliyelala nae kitandani hakusikii? ?


au unaeza kuta kwenye ndoto unaota unasali lakini badae unaona wanakuzidi nguvu badae unaishi wa nguvu? ? pale huwa wanafanya kitu gani? ?


Cc Smart911
 
Nijibu hilo la mwisho kabisa, haiwezi kuwe yeyote kabisa kwani kuna wale wanamaombi Mungu anawakinga na nguvu zote zilizo kinyume na yeye na pia kuna wale wameaga kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi flani kuna hali huwa inanitokea sana, sijui ni nini hasa lakini huwa naifurahia sana!

Enzi nikiwa mdogo (primary school level) kila nilipokuwa naingia kulala, baada ya muda kidogo nilikuwa nahisi kitanda kinazunguka taratibu na nahisi kupaa kabisa!

Yani kabisa sijaingiwa sana na usingiz ile hali naihisi nikiwa bado niko active kias baadae nalala!
Baadae nilipokuwa mkubwa ikapotea!

Nilishajiuliza sana ile hali ilikuwaje inanitokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuhadithie mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dizain mbalimbali ( kama 3 hivi nazokumbuka )wanazotumia wachawi katika kumuua mtu. ..

1. Wewe mwenyewe unasaini hati ya kifo

2 . kutumia nyoka

3. Kutumia vitu vyako kama nguo, nywele, picha, unyayo ( ulipokanyaga) n.k

Halafu pia watu wengine wanakua wachawi ukubwani kwa kuwa walipokua wadogo ( wakiwa hawajitambui ) walifanyiwa vitu mbalimbali vya kichawi na wakubwa zao aeza kuwa bibi babu baba mama ndugu au yeyote yule
Vitu hivo huja kuendelea wanapokua sasa kuwataka waviendeleze. .. kama dogo kuna mavitu walitaka kumfanyia mtoto wake pindi amempeleka mtoto ukweni wamuone kwa mara ya kwanza

Siku hio nilimsindikiza huku mimi nilikua nimembebea mtoto( alijifungua kwa oparesheni na walikua wanasumbua sana wanasema wanataka kumuona mtoto nikaona isiwe tabu) ikumbukwe yalikua yashatokea yakutokea. .mimi wala sikuogopa wala kusita ni kasema no matter what huyu ni mtoto wao tukaenda nakumbuka siku hio nilibeba biblia katikati ya biblia niliweka kile kidokumenti cha mtoto anachopewa mama hospital kinachopelekwa Rita kwa kufatilia cheti. Kabla ya kwenda .nilikiweka mule nikasali kwanza na kumwambia mungu najua unatupenda sana ndio maana ukaruhusu na kutufunulia haya yote . Sote Tunaenda salama na kurudi salama katika mikono yako salama siku zote. nk.nk........

Kufika alikuepo bibi mtu na baba mtu ..waliandaa chakula dogo hakula aligoma kula mimi moyoni nikasema hakuna kitu kibaya katika hiki chakula na hata kama wameweka hakiwezi fanya kazi. .tunakula na tutakua salama in might name of Jesus. . Dogo akagoma aliogopa akasema hayupo vizuri anaumwa tumbo mimi nikala. .Badae.....



Cc Smart911


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri mwendelezo

Ila hii ya kuuwa kupitia vitu vya mtu mwenyewe nadhani ni kweli,hata Mimi nimeona..kisa chake sitaki kukiweka hapa maana kitanipa maumivu yaliyokwisha kupita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri mwendelezo

Ila hii ya kuuwa kupitia vitu vya mtu mwenyewe nadhani ni kweli,hata Mimi nimeona..kisa chake sitaki kukiweka hapa maana kitanipa maumivu yaliyokwisha kupita.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana mamy tuelezee tu Ilikuaje kwakua ilishapita. . sema hapa tunapeana experience if possible na jinsi ya kuyaepuka


Cc Smart911
 
 
Bei hutofautiana na matumizi,muda pamoja na afya ya (kijakazi) ndilo jina analoitwa kokote kule Mchawi ataitwa Mshirika na msukule anaitwa (Kijakazi)
Kuhusu Bei sijui nimeacha tangu 2018, Nachojua bei hutofautiana kulingana na hadhi au Nini alichonacho (Nyota)





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei hutofautiana na matumizi,muda pamoja na afya ya (kijakazi) ndilo jina analoitwa kokote kule Mchawi ataitwa Mshirika na msukule anaitwa (Kijakazi)
Kuhusu Bei sijui nimeacha tangu 2018, Nachojua bei hutofautiana kulingana na hadhi au Nini alichonacho (Nyota)

Kuhusu kiwango cha pesa nilichokua nanunua hapa mkuu nitakukwepa kujibu .

Kwa shughuli za shamba Ni vigumu kujua wanalima wangapi na hawaruhusu ujue unalipa pesa mnapeana muda kazi yako Ni kukagua tu,mm nlinunua mmoja na siku kumaliza muda mrefu niliwafata wamchukue

Kuhusu shamba si kulima tu,baadhi ya shugul za shambani watafanya,mfano mzuri nenda siku ya gulio Matombo au kipindi Cha mavuno,angallia mabosi wanaokuja kuleta au kuchukua mzigo ,Kuna vibarua hua badhi yao huja nao ukiwachunguza kwa umakini utagundua Ni wale ambao tunasema wamekwisha kufa lakini bdo wanaishi.

Binafsi sijawahi kuwafuga Wala kuishi nao ila nachojua Mchawi kuwalaza hata mtaroni haoni kwake hasara ,hawana mahala sahihi kwa kuwekwa ila utakapoenda kununua wapo ktk vyumba wanafungiwemo humo


Si kila kitu ktk kilimo watafanya,shughuli nyingine zinahitaji Maarifa si nguvu,lengo la kutumia hawa vijakazi Ni urahisishaji wa kazi,na gharama nafuu

Ufanyaji wa kazi hutegemeana na Aina ya kazi,kilimo hakiwezi kufanywa mchana, muda mzuri Ni kuanzia saa sita usiku Hadi 11Alfajiri

Vijakazi Ni binadamu,Kama wengine huhisi,hutafakari,hung'amua isipokua uwezo wa kujinasua Ni mdogo kwao,wametekwa Ni watumwa it's hard to them to escape,if wakinyimwa chakula mazingira si rafiki,afya kuzorota huchangia vifo vyao.
 
Dah aise dunia tunayoishi ina mambo mengi sana ya kutisha! Hivi haya ynafanywa na wadamu hawa hawa tunaopishana nao kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijisikiaje kutumia misukule kwenye kazi zako?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana hao misukule wapo kwenye dunia hii tunayoishi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…