Bei hutofautiana na matumizi,muda pamoja na afya ya (kijakazi) ndilo jina analoitwa kokote kule Mchawi ataitwa Mshirika na msukule anaitwa (Kijakazi)
Kuhusu Bei sijui nimeacha tangu 2018, Nachojua bei hutofautiana kulingana na hadhi au Nini alichonacho (Nyota)
Kuhusu kiwango cha pesa nilichokua nanunua hapa mkuu nitakukwepa kujibu .
Kwa shughuli za shamba Ni vigumu kujua wanalima wangapi na hawaruhusu ujue unalipa pesa mnapeana muda kazi yako Ni kukagua tu,mm nlinunua mmoja na siku kumaliza muda mrefu niliwafata wamchukue
Kuhusu shamba si kulima tu,shughuli zote za shambani watafanya,mfano mzuri nenda siku ya gulio Matombo au kipindi Cha mavuno,angallia mabosi wanaokuja kuleta au kuchukua mzigo ,Kuna vibarua hua badhi yao huja nao ukiwachunguza kwa umakini utagundua Ni wale ambao tunasema wamekwisha kufa lakini bdo wanaishi.
Binafsi sijawahi kuwafuga Wala kuishi nao ila nachojua Mchawi kuwalaza hata mtaroni haoni kwake hasara ,hawana mahala sahihi kwa kuwekwa ila utakapoenda kununua wapo ktk vyumba wanafungiwemo humo
Suala la chakula Sina jibu la moja kwa moja either ulaji wao ukoje,Ni unga,damu,au pumba sikuwahi kuhoji Wala kuuliza hicho kitu
Sent using
Jamii Forums mobile app