jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
hyo niliiskiaga mkuuMzee Njemba Njemba namfahamu aliwahi kuleta maiti pale lake tanganyika mechi ya Yanga , kipindi hicho kigoma KUna Mbanga FC ilikuwa inacheza ligi kuu.....
Nimeshuhudia mambo na kusikia mambo Yake mengi ... Ujiji ni hatari usijifanye mjuaji kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee..poleni jamani..sijawahi kutana na vimbwanga ila nakumbuka zamani hivi tupo wadogo tukikaa ndani utasikia vishindo juu ya bati..Yani Kama watu wanaruka ruka mama angu alikuwa anawaambia mkimaliza mseme ili tulale..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mliepukana vipi na hilo dhahama?alama nlobaki nayo mpka leo ya yule dubwana
inshort wengi humu wanasema sjui hakuna uchawi huwa nawaangalia tu but kwa yaliyonikuta nikikuhis hata unatembea na hiriz mfkoni hata kama ndgu yngu hutoniona tena maishan mwakoView attachment 1303100
Sent using Jamii Forums mobile app
daah mkuu sisi tunaotoka kigoma ndo tunamjua huyo juma njemba ila asiyemjua hawezi kuamini kisa chako,Juma Njemba alikuwa balaaa sanasikulazmishi kuamini but kma kuna mtu alishawahi kuishi kigoma muulize jna hlo
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mkimaliza mama kapinda😄😄😄Aiseee..poleni jamani..sijawahi kutana na vimbwanga ila nakumbuka zamani hivi tupo wadogo tukikaa ndani utasikia vishindo juu ya bati..Yani Kama watu wanaruka ruka mama angu alikuwa anawaambia mkimaliza mseme ili tulale..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa Dar hawawezi kumjua Huyo mwamba ... Laiti kipindi hicho kungekuwa na hizi social networks Kama Instagram na Facebook Basi huyu mtu angekuwa maarufu kuliko hata Diamond... Kuna story zake tukizitoa hapa watu watasema ni story tu...daah mkuu sisi tunaotoka kigoma ndo tunamjua huyo juma njemba ila asiyemjua hawezi kuamini kisa chako,Juma Njemba alikuwa balaaa sana
Ni rahis sana kuchanganya uongo na ukweli na story ikawa kama ya ukweli.sikulazmishi kuamini but kma kuna mtu alishawahi kuishi kigoma muulize jna hlo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti mkimaliza mama kapinda[emoji1][emoji1][emoji1]
Katika kijiji chetu M.kulikua na mzee mmoja naitwa Kapesa Alitangaza kukihama kijiji chetu ikapita kama miaka5 hivi akaja mganga kutoa uchawi pale kijijini walipofika kwa Yule mzee alipo hama mganga akacheka sana kisha akauliza mwenye nyumba hii munamjua watu tukajibu tunamjua mzee kapesa na Alishahama miaka mingi2 mganga akasema hajahama yupohapa tukajua mganga anatudanganya akamwaga maji kwa Ile nyumba kilichotokea mzee tukamuona kakaa ktka kiti cha Kulala kavaa msuli yupo na mkewe anasuka mkeka .Ile nyumba Ilikua inaonekana imechaa ikawa inaonekana Ipo kawaida .askali mmoja alikua haamini uchawi alikubali na kumpa mkono mzee kapesa
Sent using Jamii Forums mobile app