flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Mimi pia mkuu hii hali huwa inanitokea, unakuta linatokea tukio ambalo linakuwa sio geni kwenye akili yako yaani nivilevile nabaki najiuliza hili tukio nilishawahi kulishuudia wapi?? Mkuu hii hali inakuwa nininiSio kweli mkuu. Deja vu sio ndoto. Hii ni ile hali ambapo tukio linatokea na wewe kuhisi kuwa sio mara ya kwanza kuona, kusikia ama kufanya jambo hilo (hauwezi kukariri muda wa tukio isipokuwa hisia zinakutuma tu kuwa kitu kimewahi kutokea, kwamaana nyingine ni kuwa hisia huja wakati wa tukio halisi kutukia ndpo deja vu hutokea) kesi ya msimuliaji ni tofauti, yeye aliota ndoto.
Sent using Jamii Forums mobile app