Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Sio kweli mkuu. Deja vu sio ndoto. Hii ni ile hali ambapo tukio linatokea na wewe kuhisi kuwa sio mara ya kwanza kuona, kusikia ama kufanya jambo hilo (hauwezi kukariri muda wa tukio isipokuwa hisia zinakutuma tu kuwa kitu kimewahi kutokea, kwamaana nyingine ni kuwa hisia huja wakati wa tukio halisi kutukia ndpo deja vu hutokea) kesi ya msimuliaji ni tofauti, yeye aliota ndoto.
Mimi pia mkuu hii hali huwa inanitokea, unakuta linatokea tukio ambalo linakuwa sio geni kwenye akili yako yaani nivilevile nabaki najiuliza hili tukio nilishawahi kulishuudia wapi?? Mkuu hii hali inakuwa ninini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo nini hicho mkuu unaweza kuelezea kidogo kama usipojal

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kweli mkuu. Deja vu sio ndoto. Hii ni ile hali ambapo tukio linatokea na wewe kuhisi kuwa sio mara ya kwanza kuona, kusikia ama kufanya jambo hilo (hauwezi kukariri muda wa tukio isipokuwa hisia zinakutuma tu kuwa kitu kimewahi kutokea, kwamaana nyingine ni kuwa hisia huja wakati wa tukio halisi kutukia ndpo deja vu hutokea) kesi ya msimuliaji ni tofauti, yeye aliota ndoto.
ndoto ni nini? umewahi sikia kuhusu 'day dreaming'?
makala mbalimbali zinadai unaweza kuota bila kujua kuwa umeota, iwe wakati upo active ama umelala. kama ikitokea umeota na huna habari, haitakuwa sahihi kupachika jina huo uzoefu deja Vu?
 
Mkuu

Ukiongelea ishu za "kome" nakukubalia asilimia zote! nilienda kome msiba wa shemeji yng na kilichonitokea huko sitakuja sahau!!! afu eti nasikia huko ndipo mahali wanaongoza toa ma padri!!? Kome ni sayari nyingine ile ...
Kome hicho kisiwa nakiogopa sana, kuna kipindi fulani tulikua field huko... basi ilikua tafrani
 
MM naomba unifafanulie kuhusu ndele.
Inatengenezwaje? Inatumikaje baada ya hapo? Je kuna manuizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndele ni dawa ya mvuto na kukubalika. Kuna njia nyingi tu za utengenezaji wa dawa hiii, maana uchawi ni sanaaa kama upishi.

5+4=9, 2+7=9,3+6=9 huo ni mfano, maan yake kila mtu ana mbinu zake za ulogaji kufikia lengo.

Kila njia ina urahis wake ktk mashart, nguvu zake n. K

Sito ingia kukujuza utengenezaji, ila ukiwa nayo hii kitu unakuwa una vuta roho zinazo influence wahusika wako akili zao ziku kubali na kukusikia.

Kuna ndele za hirizi utengenezwa kwa manuizo kisha upewe utembee nayo, zingine ni mafuta yenye dawa za mvuto utambiwa upake sehem kadhaaa kam kweny uso, makwapa n maficho ya mapaja au kiganjani. Kun zingine za kutafuna ukiwa na mhusika ata fanya wishes zako.

Kuna zingine za kuchoma, so hata kama boss kakuchukia kakupa barua au kun mchongo una utaka basi unafanya manuizo, unachoma unapiga simu ule moshi ukiendelea kuwaka, jamaa ata kuitikia tu.

Hizi zote ni uchawi, mchawi na mganga ni kitu kimoja tu. Ni sawa kula embe au kunywa juisi ya embe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndoto ni nini? umewahi sikia kuhusu 'day dreaming'?
makala mbalimbali zinadai unaweza kuota bila kujua kuwa umeota, iwe wakati upo active ama umelala. kama ikitokea umeota na huna habari, haitakuwa sahihi kupachika jina huo uzoefu deja Vu?
Binadamu hana mwli mmoja. Watu waujao ni huu physical body, lakini kuna zingine.

In short ndoto hukup jumbee mbali mbali za rohoni, maonyo, taarifa zilizo pita, matukio yalioyo tokea, maelekezo ya nin ufanye, makatazo au mashambulio yanayo tokea.

Kuna watu wana mis lead wengine kuhusu ishu za ndoto kiujumla.

Lakin kubwa na baya zaidi ni kuota ndoto harafu ukasahau, yaani huwa huzikumbuki ndoto zako, jua kuna uharibifu umefanywa ili usipate kujuzwa ya hapo juuu. Then kam vita huendelee pigana ukiwa umevishwa miwani ya mbao.

Pambana uharibufu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom