Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Wadau naomba tujuzane

Mbali ña watu wa kigoma kuwà watafutaji, na wapambanaji sana linapokuja suala la biashara, huwa najiuliza kuna siri gani ya ziada imejificha?

Muha akifungua biashara yoyote sehemu ambayo biashara ni ngumu kwa wengine kupata wateja, yeye (au wao waha) atajaza sana na kuuza sana huku wengine wakiyumba!

Wenzetu hawa ni wagum sana kueleza siri ya mafanikio zaidi ya kusema kauli.

Watàalam tunaomba ufafanuzi hasa wa kina tufaham ni siri gani hasa inatumika!

Nina mfano hai hapa, kuna duka la msukuma mmoja na muha mmoja yote yametazamana.
Lakini cha ajabu msukuma kapotea hauzi tena kama zamani, muha anauza sana na mpaka akifunga wateja wanamsubiri huku duka la msukuma likiwa wazi tu!!!!


Karibuni tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Ukiongelea ishu za "kome" nakukubalia asilimia zote! nilienda kome msiba wa shemeji yng na kilichonitokea huko sitakuja sahau!!! afu eti nasikia huko ndipo mahali wanaongoza toa ma padri!!? Kome ni sayari nyingine ile ...
Mimi nilisoma kwenye hadithi ya Shigongo inaitwa TAFADHALI MAMA USIWAUE WANANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu, sijui imani yako lakini mimi naamini katika vitu vinne..
1. kufunga
2. kuomba (hapa unatubu makosa yaliyopelekea kuwandamwa na hyo karma, unasifu Mungu then unamuomba Mungu akutoe katika hyo karma)
3. kutoa sadaka kwa ajili ya ukombozi
4. Alafu kutoa sadaka juu ya kukombolewa hata kabla ya maombi kujibiwa.

Nakuambia kwa sababau nina evidence, haijalishi ni laana ina kufata au mkosi kwa sababu ulifanya kitu.

Hivi vingine ni kuongeza shida juu ya shida, unapewa pepo litakalo tuliza hiyo karm inayokufuata ila tena wewe una kuwa mtumwa wa hilo pepa kwa namna nyingine.
Nje ya maada kidogo, vipi kma mtu ana andamwa na Karma anawezaje kujinasua?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, barikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile kambi ya kaboya ni kweli nilikuwa pale miaka ya 1985 mpaka 1989

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna siku moja nilikua nimepumzika usiku, hua natabia ya kaucha dirisha wazi,nikapatwa na ile kitu ambayo inakufanya ushindwe kusogeza kuingo chako chochote( wanasema ni jinamizi), wakat naendelea kuhangaika kueza kusogeza vidole na miguu lakini nilikua nashindwa kabisa, sasa nilikua nauwezo wa kuchezesha macho nikaona kuna kitu kinaumbo kama binadamu ila kwakua ilikua usiku sikuweza kuona sura kwasababu alikua amejifunika vitu kama vyesusi hivi, kwakweli nilipata uoga sana nikaanza kusali kimoyo moyo na kujaribu kuweza kusogeza shingo na miguu na vidole mara baadae kidogo nikaona kile kivuli kimeamia nje huku kinaniangalia, nikazidi kusali na mara nikapata nguvu ya kuweza kusogeza viungo vyangu na kile kivuli kikapotea dah niliogopa sana ile siku, na sikujua usingizi ulitokea wapi nikalala tena.
hii kitu ni nini wataalamu mnaojua?
 
Ulifuatwa mkuu mkapige kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga
 


— Niliendaga kikazi tabora bahati nzuri nikakutana na manzi moja mrembo sana niliomba mechi nikanyimwa, nikawa nimerudi Dar lakini hatukuwa tunawasiliana, ila mwezi huu wa kwanza kanipigia Simu ananambia ati ameniota ati nimepata ajali nimefariki! Dah sikutilia maanani ila ninavyo soma hizi thread inanibadilisha kimawazo [emoji24][emoji24][emoji24] sijawai kuotewa ndoto mbaya hivi bora ata nisinge mjua uyo manzi [emoji3]. Japo kwa upelelezi wa haraka haraka huyo manzi ni kama anaamini sana ushirikina


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…