Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Wiki tatu zijazoItakua lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki tatu zijazoItakua lini?
Can we arrange it?Wiki tatu zijazo
Ruvuma nako kuna madudu mkuu? Mbona nilitaka kuchukua jiko huko?
Ruvuma nako kuna madudu mkuu? Mbona nilitaka kuchukua jiko huko?
Pm kiongozi madudu yapo Sana! Ila usiogope chukuaRuvuma nako kuna madudu mkuu? Mbona nilitaka kuchukua jiko huko?
Mimi nilisoma kwenye hadithi ya Shigongo inaitwa TAFADHALI MAMA USIWAUE WANANGUMkuu
Ukiongelea ishu za "kome" nakukubalia asilimia zote! nilienda kome msiba wa shemeji yng na kilichonitokea huko sitakuja sahau!!! afu eti nasikia huko ndipo mahali wanaongoza toa ma padri!!? Kome ni sayari nyingine ile ...
Ilishaletwa kitambo ssna na LIKUDHuyu Juma Njemba anaonekana ni mkali sana wa hizi vitu, hebu historia yake, Kama kina Ng'wana Malundi
Alexander
Nje ya maada kidogo, vipi kma mtu ana andamwa na Karma anawezaje kujinasua?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, sijui imani yako lakini mimi naamini katika vitu vinne..
1. kufunga
2. kuomba (hapa unatubu makosa yaliyopelekea kuwandamwa na hyo karma, unasifu Mungu then unamuomba Mungu akutoe katika hyo karma)
3. kutoa sadaka kwa ajili ya ukombozi
4. Alafu kutoa sadaka juu ya kukombolewa hata kabla ya maombi kujibiwa.
Nakuambia kwa sababau nina evidence, haijalishi ni laana ina kufata au mkosi kwa sababu ulifanya kitu.
Hivi vingine ni kuongeza shida juu ya shida, unapewa pepo litakalo tuliza hiyo karm inayokufuata ila tena wewe una kuwa mtumwa wa hilo pepa kwa namna nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kambi ya kaboya ni kweli nilikuwa pale miaka ya 1985 mpaka 1989Molembe,
Jeshini bana Kuna visanga vyake, Kuna kambi fulani ipo Muleba walipozikwa mashujaa wa Vita vya Kagera enzi tukiwa wadogo(watoto wa kambi) pale makaburini ilikuwa Ni kisanga. Wajeda kukimbia wakiwa lindo ilikuwa Ni kawaida ila Kuna Mzee mmoja nae ni Mjeda huyu ndo aliisaidia ile kambi na makaburini pakawa shwari.
Ulifuatwa mkuu mkapige kaziNakumbuka kuna siku moja nilikua nimepumzika usiku, hua natabia ya kaucha dirisha wazi,nikapatwa na ile kitu ambayo inakufanya ushindwe kusogeza kuingo chako chochote( wanasema ni jinamizi), wakat naendelea kuhangaika kueza kusogeza vidole na miguu lakini nilikua nashindwa kabisa, sasa nilikua nauwezo wa kuchezesha macho nikaona kuna kitu kinaumbo kama binadamu ila kwakua ilikua usiku sikuweza kuona sura kwasababu alikua amejifunika vitu kama vyesusi hivi, kwakweli nilipata uoga sana nikaanza kusali kimoyo moyo na kujaribu kuweza kusogeza shingo na miguu na vidole mara baadae kidogo nikaona kile kivuli kimeamia nje huku kinaniangalia, nikazidi kusali na mara nikapata nguvu ya kuweza kusogeza viungo vyangu na kile kivuli kikapotea dah niliogopa sana ile siku, na sikujua usingizi ulitokea wapi nikalala tena.
hii kitu ni nini wataalamu mnaojua?
dah aisee
KirangaTomino's Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. .
.
Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi 'Saijou Yaso' Raia wa Japan na Wakati Anaandika Shairi hili Alikua na Umri wa Miaka 26 tuu, Inaelezwa pia Mtu Huyu Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
'Saijou Yaso' Alikua Mwandishi Maarufu sana wa Mashairi Kutoka Nchini JAPAN, Alizaliwa January 15, 1892 Huko Tokyo Japan na Kufariki August 12, 1970. .
.
Shairi Hili Linamhusu Mtu Mmoja Anaeitwa 'Tomino', Tomino Alikua Anasafiri Kwenye KUZIMU!. Mwaka 1974 Muongozaji wa Movie wa Kijapan 'Terayama Shuji' Alitaka Kutengenezea Movie Shairi hili, Ajabu ni Kwamba Miaka Michache Baada ya Movie Kutoka ALIKUFA!. Movie Inaitwa 'To Die in the Countryside'. .
.
Je Kwanini Shairi Hili Linatisha? Kwanini Lazima Usome Kimya Kimya? na Je Huyu TOMINO ni Nani? .
.
Kuna Story Nyingi sana Kuhusu Mtu Huyu 'Tomino' Aliyeandikwa Katika Shairi Hili, Kuna Siri Kubwa isiyojulikana Kirahisi Kumhusu Mwandishi huyu ambaye Inaelezwa kuwa Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
Hiki ni Kipande tuu cha Shairi la Tomino, Kuna Lugha Tatu Tofauti Hapa, Liko Tlanslated.
姉は血を吐く、妹(いもと)は火吐く、
ane wa chi wo haku, imoto wa hibaku,
His older sister vomited blood, his younger sister vomited fire,
可愛いトミノは 宝玉(たま)を吐く。
kawaii tomino wa tama wo haku.
And the cute Tomino vomited glass beads.
ひとり地獄に落ちゆくトミノ、
hitori jigoku ni ochiyuku tomino.
Tomino fell into Hell alone,
地獄くらやみ花も無き。
jigoku kurayami hana mo naki.
Hell is wrapped in darkness and even the flowers don't bloom.
鞭で叩くはトミノの姉か、
muchi de tataku wa tomino no ane ka,
Is the person with the whip Tomino's older sister,
鞭の朱総(しゅぶさ)が 気にかかる。
muchi no shubusa ga ki ni kakaru.
I wonder whose blood is on it?
叩けや叩きやれ叩かずとても、
tatakeya tatakiyare tatakazu totemo,
Hit, hit, without hitting,
無間地獄はひとつみち。
mugen jigoku wa hitotsu michi.
Infinite Hell's one road.
暗い地獄へ案内(あない)をたのむ、
kurai jigoku e anai wo tanomu,
Would you lead him to the dark Hell, .
.
KIRANGA KAMA UNAJITIA UBISHI WA KISHABIKI EMBU FANYA HIKI KITU ARAFU ULETE HAPA MREJESHO..[emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo huyo.
mkuu tunafanana sana:
Mimi mwaka 2010 wakati npo chuo cha cbe dar mzee wangu alikua anaumwa amelazwa muimbili hospital.
Ilikua Mara kwa Mara haipiti wiki lazima nimuote mzee wangu amefariki,basi nlikua nalia sana tena sana ukumbuke nipo ndotoni nikistuka najikuta ninamachozi mengi sana.
Basi nikiamka tu lazima niende hospital kuakikisha je amekufa kwel au laa lkn nlikua namkuta mzima.
siku namaliza tu mitihan ya mwisho ndo siku hiyo hiyo amefariki hakika nililia sana tena sana.
KUHUSU MAONO NDOTONI
Mimi Nina staili mbili za kuota nikiwa nimelala.
Huwa naota kwa kuona tukio kamili lkn pia huwa naota kwa kusikia sauti ya mtu masikioni mwangu akiniambia kitu.
Kuna siku niliota sauti ya mtu ikiwa IPO siriazi inaniambia kwa umakini kabisa kua utaenda kua manager katika kampuni hii theni nikaanza kuoneshwa laivu mazingira ya hiyo kampuni.
Nilivostuka niliomba mungu iyo ndoto na iwe kwel maana nilikua kweli sina kazi ya kuajiriwa naendesha bodaboda yangu.
Ikapita kama miezi mitatu mbaka nishaanza kusahau hiyo ndoto siku moja natoka kwenye interview ya kampuni flani dar wakat nipo chalinze baba yangu mdogo akanipigia simu akaniambia upo tayar kuajiriwa nikamwambia ndio mzee akaniambia nitumie CV yako kuna MTU nimtumie
Nlivotuma baada ya wiki nikaitwa kusailiwa nikaambiwa wiki ijayo niende kuanza kazi tanga.
Huwezi amini nilivofika mazingira ya pale kwenye ile kampuni ndo yaleyale ambayo niliyoyaota nankuoneshwa kwenye ndoto ambayo ilitokea zaidi ya miezi mitatu nyuma
Nilishangaa sana kwa kwel.na mengine mengi tu sitaki kuwachosha na wengine wachangie
Sent using Jamii Forums mobile app