Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Aisee hii ni balaa..[emoji2089][emoji2089]
Kuna yoyote ambaye anakumbuka kipindi cha USWAZI cha Musa akiwa na Manyau Nyau? Manyau Nyau aliingia nyumba moja hivi Musa akawahoji tatizo ni nini hapa?

Wapangaji wakamwambia kuna ambaye anaishi kwenye hiyo nyumba ila hawamuoni.

Muda mwengine wakijisaidia haja kubwa wake kwa waume wanashangaa ghafla wanachambishwa halafu hawaoni mtu wala huo mkono uliyowachambisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mchawi kweli anashindwaje kuroga hadi kupata hizo access za majina yako kamili?

It's Scars
Ni kwa vile hakujui na hakuna kinachomkwaza kuhusu wewe.
Mwanzo wa uchawi au kuroga huwa ni kukwazika aidha kwa kumchokoza au hujamchokoza lakini anaumia na maendeleo yako.
Sasa wewe hakujui wewe ni nani na una nini atakuroga ili iweje?huoni hiyo itakuwa ni matumizi mabaya ya uchawi?unajua kuwa uchawi una gharama zake na huwa unauzwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa vile hakujui na hakuna kinachomkwaza kuhusu wewe.
Mwanzo wa uchawi au kuroga huwa ni kukwazika aidha kwa kumchokoza au hujamchokoza lakini anaumia na maendeleo yako.
Sasa wewe hakujui wewe ni nani na una nini atakuroga ili iweje?huoni hiyo itakuwa ni matumizi mabaya ya uchawi?unajua kuwa uchawi una gharama zake na huwa unauzwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nachotaka kujua mimi huyo mchawi hawezi kumjua mtu kwa kutumia uchawi wake?

It's Scars
 
Sikua na lengo la kuchangia kitu hapa Ila nisipochangia ntakua namkosea mungu

Nachangia ili wale wasiomini uwepo wa mungu wajue kwamba mungu yupo Ila tu tunaweza kupishana namna tunavyomfafanua huyo mungu

Kuna siku moja niliota tupo watu wengi tunapambana na Simba,

Mimi nilikua wakwanza kuona Simba mmoja akiwa amekufa na ubavuni Kama ameliwa ivi

Kwenye kichaka kingine tukamuona Simba jike na kuanza kumkimbiza wakati tunamkimbiza mm nilikua na mbio nikawa namkaribia yule Simba nilivoona namkaribia sana nikaokota jiwe na kumpiga nalo mgongoni Hali iliyopelekea Simba yule kupungua nguvu na akapandwa na hasira sana akageuka ili kumtafuta aliyemjeruhi, Ila mwisho wa yote yule Simba aliuawa...ndoto ikawa imeishia hapo na nikashtuka Ila usiku kucha nilikua najiuliza hii ndoto inamaana gani na sikupata jibu

Kitu Cha kushangaza ile kufungua mlango asubuhi Kuna dogo tulikua tunakaa naye akamkuta bundi akiwa amefia pale mlangoni

Pia Kuna mtu alikuja nyumbani na kunambia yule bundi alikuja kuchukua uhai wako ni Jambo la kumshukuru mungu huwa haruhusu Mambo fulani yatokee

Hilo ni moja ya Mambo ambayo mungu amewah kunitendea na nikaprove

Niondoe ukakasi kidogo tukio Hilo halijatokea kijijin ni hapa hapa center kwaiyo bundi hapo hawez kufika hata kwa bahat mbaya na kwann afie mlangon?

Mungu yupo Kama huamn uwepo wa mungu kuwa makini sana
 
Mkuu uchawi unakanuni kama ilivyo teknolojia ,mfano,computer unafanya kazi kwa ufanisi na haraka zaidi kuliko binadamu,lakini hawezi kufanywa kazi hizo bila kisababishi ambaye ndo binadamu ambaye lazima ajaze data ndo computer itoe taarifa,huwezi fika kwenye komputer ukasimama tu bila kuipa data then ikakupatia taarifa,hivyo hivyo na uchawi uko hivyo ili mtu akuloge lazima apate taarifa zako kwa usahihi ili ndo akuroge,taarifa hii imfikie Kiranga maana naye haamini
Nachotaka kujua mimi huyo mchawi hawezi kumjua mtu kwa kutumia uchawi wake?

It's Scars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma post namba 42
Mkuu hiyo ni stori tu wala haiwezi kua ukweli kama unavyonifahamu sijawahi kuamini katika uchawi
soma post # 8 hata km hayawi kweli, lkn yapo, kuna jamaa mmoja wa Ifakara mtoto wa Bi Kalmbwana jamaa alinieleza wanaoga uchi kundi hakuna kugeuka wala kuongea. sasa ukisikia umeguswa nyuma/pakukalia kwanini usifeli?
 
Cjawahi kuona mazingahombwe live Ila nimekuwa na tatizo la kuishiwa damu na hata Nile nini kuipandisha ni mitihani. Hili tatizo Sikuwa nalo kabla. Tatizo lilinianza baada tu ya kuishi wilaya flani kibiashara ambapo nilipigwa vita sana niifunge ile biashara nikakomaa.
kua makini..jini ilo..ukichukulia poa linakuondoa. .take it serious..jiongeze
 
apo kwenye kurudisha msukule....nna shida napo...kuna mganga anaiweza iyo kazi..? maana kuna mtu.nampenda kweli na walimchukua msukule..na hata kila siku namuota ila haongei...nahisi washamkata ulimi....nahitaji sana kama kuna mtu anaiweza iyo kazi
Anarudi hata kama ameondoka miaka 20 as long as una uhakika Bado yupo hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom