Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Basi itakuwa bonde bilashaka asante[emoji117]Kwakuwa ule mto haukuwa na maji...
unauitaje mto ilihali hauna maji, ama ulikuwa unamaanisha bonde?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi itakuwa bonde bilashaka asante[emoji117]Kwakuwa ule mto haukuwa na maji...
unauitaje mto ilihali hauna maji, ama ulikuwa unamaanisha bonde?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ya jogoo io kweli,anyway znaweza kua different ila same story.Hahahahaha
Umenikumbusha mbezi beach makonde Kuna mjengo wa maana ukilipa kodi hulali..unakutana na vimbwanga hatari..Mara usiku vyombo vinaangushwa ukiamka asubuhi unakuta na nyayo zilizokanyaga maji kuanzia jikoni hadi sebuleni..
Kuna rafiki wa dada angu alipangiwa na mzungu wake ..akawa anamwambia nyumba ina mauza uza mzungu haamini..siku aliyolala pale aliyoyaona mbona aliondoka na mwanamke wake usiku uleule hata Kodi hakudai..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi hapo hapo nilipopanga na yule mama wa kigoma, alikua ananitoa nje kimazingara na alikua ananitesa kweliDuuh lete Visa kadhaa vya kuverify hili
Hii niliambiwa na jamaa yangu na ilimtokea Dar miaka ya hivi karibuni.
Jamaa waliitwa kwenye interview ya driving! Wakapita, wakaitwa kwenye second interview ambayo ndio angepatikana dereva sasa!
Jamaa akawapoteza wenzie yaani siku ya interview kaenda alone, wenzie hawajaja! Jamaa akapata kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliposema na umri wako mdogo uliruhusiwa kuingia kwenye nyumba mganga nikajua kwamba hii ni chaiiiiiidah nmesoma sana ngoja na mimi ntoe kisa kilichosababisha niape kuwa sitakwenda kwa mganga tena kwenye maisha yangu.
ilikuwa 2002,tunatoka dar tunakwenda mkoa wa kigoma kwa wanojua bara bara enzi hizo wanajua ni jinsi gani kulikuwa na majambazi hasa ndani ya mapori ya Tabora,bahati haikuwa yetu mida ya saa 5 usiku wakati tupo road tukakuta bara bara imewekwa bonge la gogo mzee akataka kujitahid aligeuze ghafla walitokea watu wamebeba bunduki ndo kwa mara yangu ya kwanza kuone mtu kashka bunduki huku kajizungushia mkanda wa risasi mwilini bro wangu ile kuwaona tu akakata moto tuliokuwa hatujazmia tulikuwa watatu 3 mimi mzee na bimkubwa.
Tulichezea sana vitasa mzee alidhalilika mno mwisho wa siku walichukua mpka viatu nakumbuka viatu vyangu vya kitoto vya kuwaka taa,then wakaondoka mpka na gari tulikaa pale mpka saa 11 ndo tukapata msaada tukaenda polisi but hawakuwa na msaada mzee akapiga simu kigoma ikatumwa nauli tukaenda moja kwa moja mpka kwa baba yake(means babu),sasa babu yeye kila alivyokuwa anahadithiwa alikuwa anacheka mno hasa akimuangalia bro na ujanja wake ote et kazimia,upande wa baba yeye alikuwa na hasira mno alichokuwa anataka yeye ni wale watu awashikishe adabu hata kufa wafe basi ilivyofika usiku tukaelekea sehemu fulani inaitwa ujiji kwa mzee fulani alikuwa anaitwa juma njemba.
Nadhani kwa watu wa kigoma wanaweza kuwa wanamjua,akaelezewa kila kitu akasema hicho ni kitu kidogo sana,huku na yeye anacheka kisha akasema kuwa pale kwake kuna mbuzi alimchinja sababu ya sherwhe ya mwanae hvyo itatubidi tumtafutie mbuzi mwengne amreplace ili iwe kama malipo yake baba akakubali,kilichofata akawaita wajukuu zake walete (ubumba) ni udongo fulani hivi wa mfinyanzi kisha akawa anatengeneza kimdoli kidogo cha udongo kama vile vya kitoto toto,baada ya kukitengeneza akaanza kukiandika maneno yake kisha akakisimamisha chini,then akaanza kuongea maneno yake aliongea sana baada kama ya saa 1 akasema mtu yoyote ndani ya hichi chumba haruhusiwi kukimbia wala kupiga kelele kwani kwa kufanya hivyo ndo itakuwa kifo chake.
Basi aliendele kusema maneno yake ghafla yule mdoli pole pole alianza kukua na kuwa mkubwa pole pole,baada kama ya dakika arobaini alikuwa ni mkubwa kama binadamu mwenye mwili mkubwa alikuwa anamkono na kifua kikubwa na mrefu,kwa mara ya pili bro tena akazimia kwa mara ya pili mim mkojo ulishantoka natetemeka kama nmepatwa na dege dege,mwisho yule mdoli akaambiwa shtaka letu kisha akaambiwa nenda hivi vitu vinatakiwa leo leo,theb yule mtu akafungua mlango akatoka mbio alikuwa ni mwanaume lakini yupo uchi na ni mweusi tii kama mkaa mpka macho hakuwa na ichi kiini cheupe ye alikuwa na kiini cha moja kwa moja cha weusi,alivyoondoka tukaanza kumpepea na kumwagia maji bro alivyoshtuka yule mzee akatuambia kazi imeshakwisha kesho mtayapata majibu yenu.
Ilivyofika asubuhi tukapigiwa simu nakumbuka enzi hizo kulikuwa kuna buzz siyo hii tigo na hata simu zilikuwa za mezani,tukaambiwa kuwa kuna gari imepatikana Tabora yenye namba kama tuliyoripoti pamoja na vitu vingine,tukaanza safari na treni mpka tabora kufika kule tukakuta vitu vyetu na vingne vingi tu ila mzee alisema vyote vilikuwa vyetu hela zilikuwa kama 1m lakini zilipatikana 7m polisi hawakuchukua hata cent na hata walivyopewa walikataa kata kata hakikupotea hata kifungo kisha baada ya kuchukua tukaambiwa kuwa hao majambazi waliotuibia walikutwa msituni wakiwa wameuwawa wakasema wanahisi ni wanyama wakali ndo waliwauwa maana walikuwa wanaalama za meno makali milini mwao na kucha.
lakini wakashndwa kuelewa kama ni wanyama ndo waliwashambulia ni wanyama aina gani na kwanini hawakuwapiga hata risasi moja hao wanyama na wakati walikuwa na silaha nzito?Baada ya maelezo mengi mzee akawasha gari mpka kigoma stend ya kwanza mpka kwa yule mganga tulinunua mbuzi na zawadi nyingne nying lakini mzee aligoma hakutaka chochote zaidi ya mbuzi tu,basi tukampka mbuzi wake, akasema imebaki kazi moja tu na kazi yenyewe ni kumrudisha yule kiumbe(mdoli mtu)ili asitudhuru na sisi maana ni wetu hapo mdipo ilipokuwa mtihani maana kuna msharti mengi tulikosea plus kujisahau sasa akawa anatuandama sisi atuue dah kila mmoja nyumbani anaalama ya yule kiumbe yangu ni kungatwa skio na kula kipande nikipata mda ntawamalizia kisa changu but mpka leo mimi kwenda kwa waganga ni big no,but thanks god tulitoka salama
picha ya nilipongatwa kwenye skio ambyo ni alama ambayo sitaweza isahau mpka kifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutembelee wap?? lete picha huku wengne JF ndo kila kituNasikia Diamond huko Kigoma zaidi ya kupokelewa na umati wa kihistoria lakini pia kapokelewa na kundi kubwa la popo angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anayebisha tembelea IG page ya babutale.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ujipange kupamban na mahuzahuza baada ya kupata vtu vyakoJana nimevunjiwa home sasa kuna jamaa akanimabia twende kwa mzee hivyo vitu vitarudi kwaiyo nataka nikajionee kama kweli haya mambo yapo au sound tu.nitaleta mrejeshoView attachment 1307592
tatizo lugha
Hahaha apana kaka sahv na kwangu
Mimi nakumbuka siku moja nimetoka kula chakula usiku, mida ya sa mbili, kuingia chumbani kitandani ile nalala kabla sijafumba macho nilijiona napaa live juu ya kitanda mara tatu.....nkakemea kwa jina la yesu nkaachiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ulikua haujavuta Cha R chalii angu?Mimi nakumbuka siku moja nimetoka kula chakula usiku, mida ya sa mbili, kuingia chumbani kitandani ile nalala kabla sijafumba macho nilijiona napaa live juu ya kitanda mara tatu.....nkakemea kwa jina la yesu nkaachiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha uchawi wa unyakyusa miaka ya 2004 pale Tukuyu kwenye kiwanja cha mpira karibu na Stendi, kulikuwa na mkesha wa mwenge sisi tumerokaMiaka kadhaa nyuma, bibi yangu mzaa mama, katika umri wake wa makamo, mrembo na mwenye kinywa kilichosheheni meno imara na meupeeee, aliamka asubuhi moja tusiyoisahau mpaka leo, kinywani akiwa hana jino hata moja. Alikuwa kibogoyo kabisa kama alizaliwa na kukua bila meno.
Wakati ukoo mzima tumetunduwaa kwa mshangao, jamii ilitutuliza kwa kutuambia kuwa tuwe wapole na habari ndiyo ilikuwa imekwisha hivyo. Kuwa bibi yangu eti alifanya uzembe wa kuamka na kupiga kelele akidai meno yake hayamo kinywani.
Kumbe ilimpasa, baada ya kuona kinywa chake kitupu, angerudi kimya kimya kulala. Meno yake yangerejeshwa na walioyaazima kwenda kutafunia nyama na bisi!! Ni juzi tu tumemzika bibi yetu akiwa kibogoyo kwa miaka kibao, kwani meno hakurejeshewa tena. Uchawi wa migombani Unyakyusa huu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukuyu kulikuwa na watalaamu kipindi cha nyuma pale uwanja wa mpira Tukuyu Mjini kulikuwa na mbio za mwenge.
Hii hata Kule Amboni Estate imewahi kutokea kulikuwa na mzungu kazoea Tanzania akawa ananyanyasa sana wabongo kwenye kampuni.Kuna mzungu mmoja alikua kakaa sana Afrika(si unajua kasha adapt tabia za kibongo mpaka katuzidi wenyeji),Yuko na kijikampuni chake ametupatia Ajira ya masimango sana.Mtaliano yule alikua ana tabia ya kumtukana kila staff bila kuangalia umri wala cheo.Siku akiamka fresh mnapiga stori..
Kuna mzee ni msafishaji wa bustani.Anajiheshimu sana na watu wote tunamweshimu.Iko siku sikujua walipishana nini kiswahili na Mtaliana.Mzee alitukanwa sana.Matusi yote.
Mzee alishukuru kwa matusi akaondoka.Ila alimwambia nakupa week moja majibu utayapata.
Baada ya week Mzungu akivuka tu geti la kuingilia kazini anapata homa kali sana.Akipelekwa hospital mzima wa afya.Akipelekwa nyumbani mzima wa afya.Kosa ni kugusa maeneo ya kazini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Walinipeleka kwa wachungaji na mashekhe kuombewa, ila amna kilicho tokea, kuna shekhe mmoja sahivi ni marehem alisema hua inatokea baadhi ya binadam kuwa na uwezo huoInamaana hilo tukio halikuwapa hofu hata ndugu zako? Inaonekana walichukulia poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alienda Kujiendeleza kielimudigba sowey, Wewe ni muongo.
Umesema mwaka 92 ulikuwa umeshaanza kazi ya kufundisha halafu unasema tena mwaka 2009 ulikuwa unasomea ualimu, aisee hii chai yako imezidi tangawizi.