Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

alama nlobaki nayo mpka leo ya yule dubwana
inshort wengi humu wanasema sjui hakuna uchawi huwa nawaangalia tu but kwa yaliyonikuta nikikuhis hata unatembea na hiriz mfkoni hata kama ndgu yngu hutoniona tena maishan mwakoView attachment 1303100

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi wake humu huyu jamaa JUMA NJEMBA nasikia alikuwa maarufu Kigoma nzima.
 
Wakuu nakumbuka enz nasoma primary kila tukienda chooni tunaskiaa harufu za pilau au vitu vinanukia vzr. Bhs nakumbuka siku rfk angu alirud speed class mpaka kuanguka kuuliza alisema kakuta sinia la pilau choon, watu wanamwambia njoo ule[emoji1316][emoji1316]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hiki kisa kama nakifaham vile!! ilikuwa shule gn hyo!
 
Mkuu hizo dawa za mvuto zinapatkana wpi
Ndele ni dawa ya mvuto na kukubalika. Kuna njia nyingi tu za utengenezaji wa dawa hiii, maana uchawi ni sanaaa kama upishi.

5+4=9, 2+7=9,3+6=9 huo ni mfano, maan yake kila mtu ana mbinu zake za ulogaji kufikia lengo.

Kila njia ina urahis wake ktk mashart, nguvu zake n. K

Sito ingia kukujuza utengenezaji, ila ukiwa nayo hii kitu unakuwa una vuta roho zinazo influence wahusika wako akili zao ziku kubali na kukusikia.

Kuna ndele za hirizi utengenezwa kwa manuizo kisha upewe utembee nayo, zingine ni mafuta yenye dawa za mvuto utambiwa upake sehem kadhaaa kam kweny uso, makwapa n maficho ya mapaja au kiganjani. Kun zingine za kutafuna ukiwa na mhusika ata fanya wishes zako.

Kuna zingine za kuchoma, so hata kama boss kakuchukia kakupa barua au kun mchongo una utaka basi unafanya manuizo, unachoma unapiga simu ule moshi ukiendelea kuwaka, jamaa ata kuitikia tu.

Hizi zote ni uchawi, mchawi na mganga ni kitu kimoja tu. Ni sawa kula embe au kunywa juisi ya embe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2013 nahitimu chuo nikiwa mzima wa afya na michakato yangu ya kuingia jeshini ikawa imepamba moto
Ghafla nikakumbwa na upofu, nikawa sioni, Amana hospital wakasema nenda muhimbili, nakumbuka muhimbili nikakutana na dokta mmoja kuleee clinic ya macho, akanchana live kuwa mie nshakua kipofu mishipa ya macho imesinyaa bora nirudi home tuu
Nikashauriwa na wadau mbalimbali niende CCBRT nako kuchekiwa yale yalee, ila sababu haijulikani
Nakumbuka mfanyakaz mmoja wa hiyo hospital alimstua sister angu jiongezeniii
Basi bhana baada ya kujiongeza kuhangaika huku na hukoo leo naona tena
Pole Sana mkuu, usingeingia gereji Ina maana ungekuwa kipofu Hadi Leo.
 
Back
Top Bottom