Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kumbe wachawi hupenda kupitia kwenye kona za nyumba. .pale alipokuwa anasota kuelekea kwenye kona nikwamba alikuja kusaidiwa kuondoka na shangazi mtoto aliemwagiza na wachawi wengine Kwani yeye alikua hana nguvu pale ziliisha kabisa. ..

usiku huo wakati tuko kule nyumbani tunakesha katika maombi tukikemea na kusali mbwa wengi sana walikua wanalia na kubweka kumbe wale mbwa waliona wachawi hao walikuwa nje ya nyumba yangu wakisubiri Kubeba mwili wa Kachanga ..

GLORY BE TO GOD

Cc Smart911
Kwenye maandishi unaonekana una imani ya dini ktk kristo. Ila kwenye avatar unaonekana km unatutega kutupeleka kwa ndg yako Shetani. Hueleweki ww ni popo.
 
Hahaha nilishawah kuwa na mchepuko flan ulikua unakaa uswaz kumbe pale alipokua anakaa hapatan na wapangaj wenzake walikua wanaona wvu kwakua kila nikija nakuja na madiko diko..kimsingi nilikua nakuja ijumaa na kuondoka j3 basi siku moja kama kawaida nimeenda kula mzigo nikiwa nimehemea kama kawa,usiku ukapikwa wali kuku tukapiga na ma juice kumbe majiran kinawauma balaa..we usiku nikaanza kuumwa tumbo ikawa chooni pamekua kama room maana kila mara naenda ila cha kushangaza naharisha wali na kuku kama ulivYo nikajua labda ni kuvimbiwa..kesho yake asubuhi baada ya tea nikaanza tena kuharisha chai na mazagazaga kama yalivyo nikasema jion nakula kdgo weee mchezo ule ulee siku ya pili majiran wanacheka na kuongea kua MTATOA MLICHOKULA nikaona eeeh tushpgwa kitu..ule mchepuko ukasema we nenda mi ntamalizana nao..hahahaa nilivyokuja next wk nikagonga msosi fresh bila kuumwa tumbo wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchepuko nae fundi

Mtegemee Mungu tu, anachokuepusha nacho kina Kheri na wewe, Kuna watu Ajira zao ndio zimekuwa kifo chao
Hii pia nimesikiaa kunaa jamaaa angu aliangaikaga sana kutafuta kaz mjin arusha hapo mpk kupelekeaa kukonda na kuwa na wivu kwa baadhi ya washkaji ambao wamepata ajiraa sasa cku moja aliomba kazi shirika mojaa mkoaa wa jirani manyara aise cku ya interviews alitokeaa pekee ake tu wengine watano hakuna hata waliofika na kupigiwaa simu hawapatikana ..aisee leo hii huyo Ben yuko kazin na ameoa na kujenga kbsaa ss tuliotanguliaa kupata vibaruaa hakunaa tulichokifanya mpk sasa .nikimuonaga bab ake yule mwana natamani namm anifanyie mpngo kam alivyo mfanyiaa mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtegemee Mungu tu, anachokuepusha nacho kina Kheri na wewe, Kuna watu Ajira zao ndio zimekuwa kifo chao

Sent using Jamii Forums mobile app
True Mungu ndio kila kitu lakini yakupasa kujua si kila alichokishusha/kiumba yeye hapa chini ya jua ni haramu, kuna wengine kawapa karama ili kusaidia waja wake.
Kifo kipo na hakiepukiki japo wapo wanaojitakiaga kwa namna kama hiyo ya uhitaji wa vitu fulani.
 
Back
Top Bottom