Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Tusifanye maisha ya hapa duniani yawe magumu. Ukiona mambo yamekua magumu sana , jaribu upande mwingine tu , kuna watu wanahangaika sana kwenye haya maisha , kuna watu wana laana Kali hapa duniani , sasa usipokua mjanja na kuhangaika sehemu mbali mbali , utakufa na laana zako , na hizo laana zitaendelea kuathiri kizazi hadi kizazi.

Ukiona mambo hayaendi kwenye imani yako , basi jaribu kwingine, ukiwa ns mentality Sijui kwenda kwa mganga dhambi , umekaa ukajiuliza una dhambi ngap mpaka apo ulipo? ,


Sent from my iPhone using JamiiForums
Had nimeanza kutafakari maisha kwa hii statement yako tu hapa
 
Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi

Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri

Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma

Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie muungurumo wa simba akiwa nyuma yao na vimbwenga vingi lakini walijitahidi kukaza ili kutovunja sharti la kugeuka nyuma

Sasa ulipofika usiku majira ya saa 8 ikabidi waende makaburini kuoga ili kumalizia zoezi lao la mwisho ili wawe mamilionea

Walipofika makaburini wakavua nguo wote nakubakia uchi kisha wakapanda juu ya kaburi ili waoge

si unajua ukiwa katika ile mood flani hivi unaoga halafu umefumba na macho ili maji yasiingie machoni.

wakastukia tu paap! wameshikwa makalio kwa nyuma.

Aaah unaambiwa wote ilibidi wageuke nyuma kwa haraka huku wanakimbia na kupiga makelele

Kesho yake kijiweni wakaanza kulaumiana "aaah wewe ndiye ulizingua, we ungekausha bila kupiga mikelele mi nisingechochora kwani kushikwa tako kitu gani bwana" yani leo nisingekua nakunywa kahawa hapa ningekua nimejikoki huko kwenye hotel zinazotambulika na dunia"
Wenye kuamini ushirikina mna kaaazi kwer kwer!
 
Hii inaitwaje kitaalamu
JamiiForums673086020.jpg
 
"Kurumbana" ndiyo nini?

Wapi nimejadili kwa ubaya?

Wapi nimelazimisha mtu aamini kile ninachoamini mimi?

Ninachoamini mimi ni kipi?

Umejuaje hiki ndicho naamini mimi?

Umejuaje naweka umuhimu wowote kwenye kuamini?

Do not flatter yourself. I don't know you like that.

Sent using Jamii Forums mobile app
Af mbna km mshari hv...nn kinafanya upanic?
 
Back
Top Bottom