Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

aaah Boss vipi naomba mchongo mkuu Hata kua chawa wako tu malipo ya buku Saba kama Lumumba inatosha Sana natanguliza shukrani!
😁😁😁😁🔥
 
Binafsi nyumba yetu ingekuwa mkoa anakofanyia kazi kaka yangu ningemshauri yeye na mke wake wakakae home, matokeo yake amekabidhiwa kijana mmoja hivi anaiangalia na kuifuja tu.
Unaona Sasa , inauma sana nyumba ambayo mzazi wako alijenga ili usipate tabu unakuta mwingine anaikimbia kwa kufuata mkumbo tu unakuta nguvu ya mzazi wako inapotea tu hiyo hela so angekunywa bia basi?

Umesema sahihi, tuna nyumba mkoani yani hao waliopewa wakae ni takataka kabisa nikifika nalala zangu hotel. I wish ningekuwa nina shughuli zangu kule ningeitengeneza na kuishi mwenyewe ili pesa yangu nielekeze kwenye kuwekeza zaidi.
 
Hama nyumbani ndugu maisha ya kujitegemea matamu sana
Wewe utakuwa ndiyo umeanza maisha ya kujitegemea,yaani kwa sisi tulioanza maisha hayo zamani mara tu tulipoanza vyuo wala huwezi kuta tuna discusses ishu petty kama hiyo.
 
Naunga mkono hoja!
 
Acha wivu wa kike, mimi kugombea rimoti na wadogo zangu wewe kunakuathiri vipi ?
 
Dhana potofu tuu hizo, wengine wapo makwao na wanakuzidi maendeleo. Wana viwanja, magari, majumba, biashara na michongo ya pesa kuzidi wewe, mpaka familia wanayo mke na watoto.
Kutoka nyumbani kuna maana ya kujitegemea. Kama uko kwenu na hivi vyote ni aidha umelelewa vibaya ama hukuyatendea haki malezi ya wazazi/walezi.

Fanya uondoke tu ndugu. Kukua ni kujitegemea hata kama unalala chini!
 
Binafsi nyumba yetu ingekuwa mkoa anakofanyia kazi kaka yangu ningemshauri yeye na mke wake wakakae home, matokeo yake amekabidhiwa kijana mmoja hivi anaiangalia na kuifuja tu.
Mimi mwenyewe nyumba yetu ingekuwa karibu na mimi wala nisinge hama. Mambo ya kukaa kitandani na ku accesss vyumba vingine vyote kuanzia sebuleni, chumbani store mpaka waliwatoni siyataki, ukicheza unaweza kuta hata unalala na kuku hivi hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunaokaa kwa wakwe tumo kundini?
 
Dhana potofu tuu hizo, wengine wapo makwao na wanakuzidi maendeleo. Wana viwanja, magari, majumba, biashara na michongo ya pesa kuzidi wewe, mpaka familia wanayo mke na watoto.
Hapa unawaongelea waarabu na wahindi? Tuondolee hiyo aibu. Fikiria Baba yako awe anaishi kwa babu yako ambaye naye anaishi kwa baba yake
 
Kuondoka nyumbani ndio maendeleo?
What if mtu unakaa nyumbani na bado unamiliki majumba?
Ni hatua ya ukuaji. Maendeleo na kuondoka home havina uhusiano. Mwanadamu, haswa wa kiume hakuumbwa akae kwao. Anapaswa kwenda kuanzisha mji.

Angalau mwanadada asiye na mume anaeleweka kukaa home kama hana uwezo wa kujitegemea. Kidume unakaa kwenu na huna tatizo? Hilo ni tatizo kubwa!
 
Sio joke umemwambia ukweli
 
Fact, mwanaume uliye kamilika unakaaje home? Eti kwa kigezo cha kutunza wazazi hoja dhaifu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…