Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

sasa nipo kwenye ujenzi wa nyumba yangu ya pili nishapaua kila kitu ndo namalizia baadhi ya madirisha yalopelea. Ofkozi nyumba zangu zote ni kwaajili ya biashara ikiwemo kulaza wageni, kupangisha watu na fremu za maduka.

na nipo kwetu maisha yanaendelea. Pia hivi karibuni ninafanya kaukarabati kadogo hapa kwetu kasichopungua milioni 17.6, baada ya kukamilisha nyumba yangu hii mpya ya pili.
aaah Boss vipi naomba mchongo mkuu Hata kua chawa wako tu malipo ya buku Saba kama Lumumba inatosha Sana natanguliza shukrani!
😁😁😁😁🔥
 
Binafsi nyumba yetu ingekuwa mkoa anakofanyia kazi kaka yangu ningemshauri yeye na mke wake wakakae home, matokeo yake amekabidhiwa kijana mmoja hivi anaiangalia na kuifuja tu.
Unaona Sasa , inauma sana nyumba ambayo mzazi wako alijenga ili usipate tabu unakuta mwingine anaikimbia kwa kufuata mkumbo tu unakuta nguvu ya mzazi wako inapotea tu hiyo hela so angekunywa bia basi?

Umesema sahihi, tuna nyumba mkoani yani hao waliopewa wakae ni takataka kabisa nikifika nalala zangu hotel. I wish ningekuwa nina shughuli zangu kule ningeitengeneza na kuishi mwenyewe ili pesa yangu nielekeze kwenye kuwekeza zaidi.
 
Hama nyumbani ndugu maisha ya kujitegemea matamu sana
Wewe utakuwa ndiyo umeanza maisha ya kujitegemea,yaani kwa sisi tulioanza maisha hayo zamani mara tu tulipoanza vyuo wala huwezi kuta tuna discusses ishu petty kama hiyo.
 
Unaona Sasa , inauma sana nyumba ambayo mzazi wako alijenga ili usipate tabu unakuta mwingine anaikimbia kwa kufuata mkumbo tu unakuta nguvu ya mzazi wako inapotea tu hiyo hela so angekunywa bia basi?

Umesema sahihi, tuna nyumba mkoani yani hao waliopewa wakae ni takataka kabisa nikifika nalala zangu hotel. I wish ningekuwa nina shughuli zangu kule ningeitengeneza na kuishi mwenyewe ili pesa yangu nielekeze kwenye kuwekeza zaidi.
Naunga mkono hoja!
 
Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini.

Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi.

Kipindi hicho bado nipo home, nyumbani kila kitu nilikuwa napata licha ya kupata kila nitakacho sikuridhika kukaa pale maana niliona nampa mzigo mkubwa mzazi wangu Mama baba alisha tangulia mbele za haki ( RIP)

Nikamwambia bi mkubwa mimi nataka nikajitegemee, akagoma akasena wewe bado sana kwanza tu kazi umeanza juzi hakuna kwenda kokote.

Baadae nilifanya maamuzi ya kuondoka nyumbani kwa nguvu japo bi mkubwa hakunipa baraka maana hakukubaliana na hatua niliyochukua.

Maisha ya kigheto gheto yakaanza bi mkubwa hakuta kuja hata kujua ninapo ishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kasusa.

Aiseeh, nilikuwa najimeki siyo masihara ndani ya muda mfupi gheto likapendeza, Mungu siyo Athumani nikapata kazi sehemu nyingine kidogo masilahi mazuri mambo yakanoga, sasa Nina mke na mtoto mmoja, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasaivi bi mkubwa anakuja home anacheza tu na mjuu wake asusi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2126023
Acha wivu wa kike, mimi kugombea rimoti na wadogo zangu wewe kunakuathiri vipi ?
 
Dhana potofu tuu hizo, wengine wapo makwao na wanakuzidi maendeleo. Wana viwanja, magari, majumba, biashara na michongo ya pesa kuzidi wewe, mpaka familia wanayo mke na watoto.
Kutoka nyumbani kuna maana ya kujitegemea. Kama uko kwenu na hivi vyote ni aidha umelelewa vibaya ama hukuyatendea haki malezi ya wazazi/walezi.

Fanya uondoke tu ndugu. Kukua ni kujitegemea hata kama unalala chini!
 
Binafsi nyumba yetu ingekuwa mkoa anakofanyia kazi kaka yangu ningemshauri yeye na mke wake wakakae home, matokeo yake amekabidhiwa kijana mmoja hivi anaiangalia na kuifuja tu.
Mimi mwenyewe nyumba yetu ingekuwa karibu na mimi wala nisinge hama. Mambo ya kukaa kitandani na ku accesss vyumba vingine vyote kuanzia sebuleni, chumbani store mpaka waliwatoni siyataki, ukicheza unaweza kuta hata unalala na kuku hivi hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dhana potofu tuu hizo, wengine wapo makwao na wanakuzidi maendeleo. Wana viwanja, magari, majumba, biashara na michongo ya pesa kuzidi wewe, mpaka familia wanayo mke na watoto.
Hapa unawaongelea waarabu na wahindi? Tuondolee hiyo aibu. Fikiria Baba yako awe anaishi kwa babu yako ambaye naye anaishi kwa baba yake
 
Kuondoka nyumbani ndio maendeleo?
What if mtu unakaa nyumbani na bado unamiliki majumba?
Ni hatua ya ukuaji. Maendeleo na kuondoka home havina uhusiano. Mwanadamu, haswa wa kiume hakuumbwa akae kwao. Anapaswa kwenda kuanzisha mji.

Angalau mwanadada asiye na mume anaeleweka kukaa home kama hana uwezo wa kujitegemea. Kidume unakaa kwenu na huna tatizo? Hilo ni tatizo kubwa!
 
Kuhama home, inategemea na aina ya familia.wengine inabidi wabaki kutunza familia, mwingine ye ndio wa kiume inabidi aoe, amtunze bimkubwa, mie naona katika familia mtoto mmoja wa kiume inabidi abaki amtunze mzazi km bado yu hai
Mie wakat nataka kuhama home, ilikuwa kesi kubwa, bimkubwa mixer kuita masista zangu vikao, nikashinda kwa point, bimkubwa akakubali kinyooonge.

Ila mzee jitahidi kupiga mbuno toka enzi hizo mpaka leo una goli moja tu, mtoto mmoja sio mtoto, wachawi wanamtaka, ajali zinamngoja, maradhi n.k(joke)[emoji23]
Sio joke umemwambia ukweli
 
Ni hatua ya ukuaji. Maendeleo na kuondoka home havina uhusiano. Mwanadamu, haswa wa kiume hakuumbwa akae kwao. Anapaswa kwenda kuanzisha mji.

Angalau mwanadada asiye na mume anaeleweka kukaa home kama hana uwezo wa kujitegemea. Kidume unakaa kwenu na huna tatizo? Hilo ni tatizo kubwa!
Fact, mwanaume uliye kamilika unakaaje home? Eti kwa kigezo cha kutunza wazazi hoja dhaifu kabisa.
 
Back
Top Bottom