Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
 
Kujenga nyumba ukiwa na miaka 35 haina shida..
Kuoa ukiwa na 40 pia ni vizuri pia
Kutokua na familia wala kujenga ni bora zaidi.
Cha maana ni wewe binafsi usimame katika malengo na misimamo yako..
Huna haja ya kuwahisha mambo kisa idea za watu fulani.. Hakuna aliye nje ya muda. Time is Relatively
 
Kwa hali ya sasa mbona kawaida tu mzee baba hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…