Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
ana watoto?? atakuwa anapiga sana zoeziKuna jamaa ana miaka 40 na hana mpenzi wa kutarajia kufunga naye ndoa,ukimuona utadhani ana miaka 23
Kupanga ni kuchagua
kuna wengine wanapenda watoto tu bila mke!!Kila mtu anapenda kuwa na familia yake (mume,mke + watoto)
@Smart 11Ngoja waje kukupa muongozo
Acha kupotosha watu mkuu. Maisha yana formula na lazima zifuatwe na ukiyakosea umeyakosea milele kwa sababu maisha hayarudiwi kuishi na h.Kujenga nyumba ukiwa na miaka 35 haina shida..
Kuoa ukiwa na 40 pia ni vizuri pia
Kutokua na familia wala kujenga ni bora zaidi.
Cha maana ni wewe binafsi usimame katika malengo na misimamo yako..
Huna haja ya kuwahisha mambo kisa idea za watu fulani.. Hakuna aliye nje ya muda. Time is Relatively
🤣🤣🤣 wacha mie nivae miwani ya bati 😎Hili jiwe limelenga wengi hili
ngoja nijifiche chini ya muembe lisinipate
😂😂😂😂😂Lucas Mobutu,
Ukisema kwamba ni wewe kuna ubaya mpendwa 😁
Tatizo lipi bebi, mwezi desemba sindio huu unakuja mama.Ni kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
Naona Mwamba unacheza kama Pele au Mlela.Tatizo lipi bebi, mwezi desemba sindio huu unakuja mama.
Natamani wote waelewe ulichokiandikaAcha kupotosha watu mkuu. Maisha yana formula na lazima zifuatwe na ukiyakosea umeyakosea milele kwa sababu maisha hayarudiwi kuishi na h.
Kama umeamua kuishi kiseja, uliyoyasema siwezi kuongeza point, lakini si kwa kujenga familia, tena familia imara kwa umri huo utakuwa umepitwa na wakati.
Embu tujadili maisha ya first born atakayezaliwa baada ya mzazi kufikisha umri wa miaka 40 jinsi utakavyomtunza na kumsomesha.
Piga piga hesabu zako, lakini siyo siri utaanza kusomesha ukiwa retired, umri unaotakiwa upumzike.
Kuwahi kujenga familia kuna umuhimu wake.
Maelezo ni mengi muda hautoshi.
Hongera zenuWale tulio below 30 na tumeshaowa tujipongeze kwa kweli kuna watu wanateseka.
Acha kupotosha watu mkuu. Maisha yana formula na lazima zifuatwe na ukiyakosea umeyakosea milele kwa sababu maisha hayarudiwi kuishi na h.
Kama umeamua kuishi kiseja, uliyoyasema siwezi kuongeza point, lakini si kwa kujenga familia, tena familia imara kwa umri huo utakuwa umepitwa na wakati.
Embu tujadili maisha ya first born atakayezaliwa baada ya mzazi kufikisha umri wa miaka 40 jinsi utakavyomtunza na kumsomesha.
Piga piga hesabu zako, lakini siyo siri utaanza kusomesha ukiwa retired, umri unaotakiwa upumzike.
Kuwahi kujenga familia kuna umuhimu wake.
Maelezo ni mengi muda hautoshi.
Ni kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
Na kama hujawahi kbs kuwa kwenye mahusiano mpk kufikia umri huo inakuwaje?Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Piere liquidKuna jamaa ana miaka 40 na hana mpenzi wa kutarajia kufunga naye ndoa,ukimuona utadhani ana miaka 23
Kupanga ni kuchagua