Dada nimepagawa na jibu [emoji38][emoji38][emoji38]I think marriage is not for everyone tho there's someone for everyone
ohooooo! kwaheriUtakuwa na matatizo ya vichocheo vya mwili
Mkuu
Naomba ufafanuzi hiyo haya ya mwisho
Siyo kila mtu mkuu. Wengine hatupendi kuwa na familia..Kila mtu anapenda kuwa na familia yake (mume,mke + watoto)
Acha ujinga BasiTangu niingie JF ndiyo mara ya kwanza kuona umeandika hoja ya kimantiki hasa, ulikuwa wapi siku zote sasa kuwa hivi? [emoji28]
Ulichokiandika hapa mkuu kina sound irrelevant kibongo bongo. Sisi mara hufanya mambo kutokana na msukumo wa jamiiKujenga nyumba ukiwa na miaka 35 haina shida..
Kuoa ukiwa na 40 pia ni vizuri pia
Kutokua na familia wala kujenga ni bora zaidi.
Cha maana ni wewe binafsi usimame katika malengo na misimamo yako..
Huna haja ya kuwahisha mambo kisa idea za watu fulani.. Hakuna aliye nje ya muda. Time is Relatively
Nini kimebadilika hadi kufanya nyakati hizi hata wasiooa wapewe nyadhifa za uongozi ?Yaani mwanaume huwezi kusonga mbele kimaisha kama huna mwanamke wa kudumu.
Wazungu walisema, kila mwanaume mwenyeafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.
Ukiwa na mke unakuwa na utulivu wa kiakili na kuweza kupambana vizuri.
Pia, ukiwa na mwanamke pasua kichwa inakuwa kinyume.
Kimsingi, mwanamke anampa mwanaume hamasa sana.
Kumbuka katika jamii, mwanaume aliyeoa anaaminika zaidi kuliko asiyeoa.
Zamani ili uwe kiongozi, ilimpasa mwanaume awe ameoa.
Usipokuwa na mke maana yake huna maisha ya kudumu yenye msimamo yaani ni muhuni tu.
unaoa lini??Mkuu kuoa au kutokuoa ni maamuzi tu ya mtu. Ndoa siyo maji ukikosa unakufa..
una mtoto??Hili tatizo La kimuundo linanicost aisee, natimiza 39 yrs sasa na sina hata mchumba wa kusingiziwa[emoji30] [emoji30] , mleta Uzi umeshaanzisha familia?,naomba tuanzishe wote kama vipii
ha ha ha usipopata hela mpaka unafikisha miaka 70 utafanyaje?Kama mim kanuni yangu nitafute kwanza ela alafu nikipata wanawake watanitafuta wenyew
ha ha ha Eqn y alishakuwai mkuu tangu miaka 12 iliyopitaHili tatizo La kimuundo linanicost aisee, natimiza 39 yrs sasa na sina hata mchumba wa kusingiziwa[emoji30] [emoji30] , mleta Uzi umeshaanzisha familia?,naomba tuanzishe wote kama vipii
Siyo kwamba kwa sababu ya hiyo tabia hauna mume,tunaoana tukiwa na mapungufu mengi ndani yetu.Ni kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
Kuna watu wana hizo tabia ulizoainisha still wameoa au kuolewa.Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Nina brother hajaoa ana mafanikio makubwa katika maisha yake, anasema kuoa ataoa tu.Usitishe watu kwa msukumo wa kijamii.Yaani mwanaume huwezi kusonga mbele kimaisha kama huna mwanamke wa kudumu.
Wazungu walisema, kila mwanaume mwenyeafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.
Ukiwa na mke unakuwa na utulivu wa kiakili na kuweza kupambana vizuri.
Pia, ukiwa na mwanamke pasua kichwa inakuwa kinyume.
Kimsingi, mwanamke anampa mwanaume hamasa sana.
Kumbuka katika jamii, mwanaume aliyeoa anaaminika zaidi kuliko asiyeoa.
Zamani ili uwe kiongozi, ilimpasa mwanaume awe ameoa.
Usipokuwa na mke maana yake huna maisha ya kudumu yenye msimamo yaani ni muhuni tu.
If you think that you can impress anybody with ya money,then you're dead wrong.Kama mim kanuni yangu nitafute kwanza ela alafu nikipata wanawake watanitafuta wenyew
Mkuu mimi sioi..unaoa lini??