Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Mkuu
Naomba ufafanuzi hiyo haya ya mwisho

Yaani mwanaume huwezi kusonga mbele kimaisha kama huna mwanamke wa kudumu.

Wazungu walisema, kila mwanaume mwenyeafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.

Ukiwa na mke unakuwa na utulivu wa kiakili na kuweza kupambana vizuri.

Pia, ukiwa na mwanamke pasua kichwa inakuwa kinyume.

Kimsingi, mwanamke anampa mwanaume hamasa sana.

Kumbuka katika jamii, mwanaume aliyeoa anaaminika zaidi kuliko asiyeoa.

Zamani ili uwe kiongozi, ilimpasa mwanaume awe ameoa.

Usipokuwa na mke maana yake huna maisha ya kudumu yenye msimamo yaani ni muhuni tu.
 
Kujenga nyumba ukiwa na miaka 35 haina shida..
Kuoa ukiwa na 40 pia ni vizuri pia
Kutokua na familia wala kujenga ni bora zaidi.
Cha maana ni wewe binafsi usimame katika malengo na misimamo yako..
Huna haja ya kuwahisha mambo kisa idea za watu fulani.. Hakuna aliye nje ya muda. Time is Relatively
Ulichokiandika hapa mkuu kina sound irrelevant kibongo bongo. Sisi mara hufanya mambo kutokana na msukumo wa jamii
 
Yaani mwanaume huwezi kusonga mbele kimaisha kama huna mwanamke wa kudumu.

Wazungu walisema, kila mwanaume mwenyeafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.

Ukiwa na mke unakuwa na utulivu wa kiakili na kuweza kupambana vizuri.

Pia, ukiwa na mwanamke pasua kichwa inakuwa kinyume.

Kimsingi, mwanamke anampa mwanaume hamasa sana.

Kumbuka katika jamii, mwanaume aliyeoa anaaminika zaidi kuliko asiyeoa.

Zamani ili uwe kiongozi, ilimpasa mwanaume awe ameoa.

Usipokuwa na mke maana yake huna maisha ya kudumu yenye msimamo yaani ni muhuni tu.
Nini kimebadilika hadi kufanya nyakati hizi hata wasiooa wapewe nyadhifa za uongozi ?
 
Hili tatizo La kimuundo linanicost aisee, natimiza 39 yrs sasa na sina hata mchumba wa kusingiziwa[emoji30] [emoji30] , mleta Uzi umeshaanzisha familia?,naomba tuanzishe wote kama vipii
ha ha ha Eqn y alishakuwai mkuu tangu miaka 12 iliyopita
 
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Kuna watu wana hizo tabia ulizoainisha still wameoa au kuolewa.
 
Acha kupotosha Umma
Yaani mwanaume huwezi kusonga mbele kimaisha kama huna mwanamke wa kudumu.

Wazungu walisema, kila mwanaume mwenyeafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.

Ukiwa na mke unakuwa na utulivu wa kiakili na kuweza kupambana vizuri.

Pia, ukiwa na mwanamke pasua kichwa inakuwa kinyume.

Kimsingi, mwanamke anampa mwanaume hamasa sana.

Kumbuka katika jamii, mwanaume aliyeoa anaaminika zaidi kuliko asiyeoa.

Zamani ili uwe kiongozi, ilimpasa mwanaume awe ameoa.

Usipokuwa na mke maana yake huna maisha ya kudumu yenye msimamo yaani ni muhuni tu.
Nina brother hajaoa ana mafanikio makubwa katika maisha yake, anasema kuoa ataoa tu.Usitishe watu kwa msukumo wa kijamii.
 
Back
Top Bottom