Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Haha mimi nipo kule kwa uzi wa selfie ndiyo kijiwe changu kile na ninamwaga likes kama zote yaani kwa kila comment,, nimekumiss mimi jamani..
Nipo mama, we ndio umehama mtaa sijui...Umekimbilia wapi jamn! I been here for 4 days sijaona hata like.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha, unazingua financial. Unazingua sana, kuwa serious basi vijana wabebe mzigo huo mazima...
Hahaaa, sasa mbona unanichanganya Eli nilitaja umri wangu sahihi(39yrs) ukanigomea, nimebadilisha bado tuu, sasa nambie nastahili kuwa na umri gani? 40's..
 
Mbona Mimi nilizaliwa baba hakiwa na miaka 35 na sasaiv baba yangu anaitwa babu kwaiyo kuzaa ukiwa na miaka 35 unakuwa hujachelewa sana
35 sawa lakin kuanzia 40kuendelea huko ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…