jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Sakasaka Mao, ]Mbona Mimi nilizaliwa baba hakiwa na miaka 35 na sasaiv baba yangu anaitwa babu kwaiyo kuzaa ukiwa na miaka 35 unakuwa hujachelewa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee ni fresh ndio ukaja kunifanyaje mamlide?...Me ndio napiga zangu bunda hivyo 🤣🤣🤣Hahaaaa, najiamnini sana tu japo siyo msupu wala mtori, mambo lakini Extrovert![emoji3]
Asee ni fresh ndio ukaja kunifanyaje mamlide?...Me ndio napiga zangu bunda hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo mama, we ndio umehama mtaa sijui...Umekimbilia wapi jamn! I been here for 4 days sijaona hata like.😂😂😂Hivi upo we mtoto??
hahahah exactly hwarang mtiifu wa MisiliAhaa kumbe wewe ni Chilsuk wa Sowha
Nipo mama, we ndio umehama mtaa sijui...Umekimbilia wapi jamn! I been here for 4 days sijaona hata like.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kapicha muhimu mkuu39 Kweli mkuu jua lishazama hilii, hivi ni kweli naweza poteza bahati ya maneno yenye utamu eeh[emoji3] [emoji3] ,sirudii kudanganya ,and vijanaa mimi ni kabinti kabichi kabisa 18 years, hapo vipi mkuu Eli ,ntatoboa maisha?[emoji3] [emoji3]
Wee si ushaoa mkuu, kapicha ka nini tena khaa!Kapicha muhimu mkuu
ha ha ha tuangalie mazingira ya uwekezaji mkuuWee si ushaoa mkuu, kapicha ka nini tena khaa!
Dooh next time babalai, muda haukua rafiki[emoji30]Asee ni fresh ndio ukaja kunifanyaje mamlide?...Me ndio napiga zangu bunda hivyo 🤣🤣🤣
Hili jiwe limelenga wengi hili
ngoja nijifiche chini ya muembe lisinipate
Hahaaa, sasa mbona unanichanganya Eli nilitaja umri wangu sahihi(39yrs) ukanigomea, nimebadilisha bado tuu, sasa nambie nastahili kuwa na umri gani? 40's..Hahaha, unazingua financial. Unazingua sana, kuwa serious basi vijana wabebe mzigo huo mazima...
something in addition to that plzzzzz...Speaking of muembe...
Haha mimi nipo kule kwa uzi wa selfie ndiyo kijiwe changu kile na ninamwaga likes kama zote yaani kwa kila comment,, nimekumiss mimi jamani..
Dooh next time babalai, muda haukua rafiki[emoji30]
Wivu unakusumbuaNi kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
something in addition to that plzzzzz...
🤭 🤭 🤭 🤭Muembe wangu wa uani...... Namhusuduu ila hata simwambii, namung'unya tuu maembe dodo yake kwa rahaa na utamu...
35 sawa lakin kuanzia 40kuendelea huko ni majanga.Mbona Mimi nilizaliwa baba hakiwa na miaka 35 na sasaiv baba yangu anaitwa babu kwaiyo kuzaa ukiwa na miaka 35 unakuwa hujachelewa sana