Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu unanikumbusha tu mbona maneno ya umelewa au upo kundi la wanaozungumzia mpira mpaka watukane?wydad yupo shiirikisho au umelewa
Nilikua nishamsahau yule mkubwa kuwa aliporomoka..Wydad hashiriki klabu bingwa sasa atakuwa kwenye pot kwa misingi ipi?
Wewe nae unaelimishwa bado unakaza fuvu wydady hashiriki klabu bingwa msimu huu..Wydady ni Timu inayopatikana Pot 1 au la pili kama hayupo Pot la uongo hilo maana Mamelodi,Petro hawajafikia Points za Wydady au Esperance..
Sijaona maelekezo yako yana maana gani mkuu.Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions Leagu.
Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa mpaka mwaka upinduke.
Na endapo Yanga akiishia Nusu Fainali basi itampasa Simba kuwa Bingwa wa CAF CONFEDERARTION CUP ili kuendelea kuwa juu ya Yanga kwenye 5 year Ranking.
Kwa hiyo Utopolo bado wanae Al ahly hadi ukamilifu wa dahari π€£π€£π€£Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu
Pot 1
Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda
Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans
Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Si alikuwa nae msimu uliopita tena na kigogo Belouizdad halafu ikatokea nini?Kwa hiyo Utopolo bado wanae Al ahly hadi ukamilifu wa dahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Belouizdad Kigogo π€£π€£π€£Si alikuwa nae msimu uliopita tena na kigogo Belouizdad halafu ikatokea nini?
Kwani nini maana ya kigogo? Maana hata Simba mlikuwa mnajiita vigogo wa Africa je mlikuwa mnatumia kigezo kipi?Belouizdad Kigogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kigogo wa CAFCL apigwe Nne?Kwani nini maana ya kigogo? Maana hata Simba mlikuwa mnajiita vigogo wa Africa je mlikuwa mnatumia kigezo kipi?
Na yule Simba anayejiita kigogo wa CAFCL alipigwa ngapi vile nov 5?Kigogo wa CAFCL apigwe Nne?
Watu wana haraka hata preliminary rounds hazijaishaπMakundi wanapanga lini?
kwenye Mashindano gani?Na yule Simba anayejiita kigogo wa CAFCL alipigwa ngapi vile nov 5?
Nimefurahi hamna cc:Kila la kheri Yangaaa ππππ€π€π€!
Yanga bingwaπͺπͺ
Yanga ni wanaume banaπΊπΊπΊ
Swala ni Simba au sio Simba haijalishwi mashindano gani. Kwani wewe mbona Al Ahly alikupiga 5 kwenye klabu bingwa hiyo hiyo, unashangaa Belouizdad kufungwa 4kwenye Mashindano gani?
ππππππππWewe mpaka sasa unazo F ngapi kufikia kuyajua hayo yote?
Aliyepigwa 5 ni kijiti? πKigogo wa CAFCL apigwe Nne?
Utopolo pot 2 katika lini ππππKama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu
Pot 1
Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda
Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans
Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Mbona kigogo simba alikufa 5? Kwahiyo kati ya simba na belouzdad ipi timu kubwa?Kigogo wa CAFCL apigwe Nne?