Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

Wydady ni Timu inayopatikana Pot 1 au la pili kama hayupo Pot la uongo hilo maana Mamelodi,Petro hawajafikia Points za Wydady au Esperance..
Wewe nae unaelimishwa bado unakaza fuvu wydady hashiriki klabu bingwa msimu huu..
 
Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions Leagu.

Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa mpaka mwaka upinduke.

Na endapo Yanga akiishia Nusu Fainali basi itampasa Simba kuwa Bingwa wa CAF CONFEDERARTION CUP ili kuendelea kuwa juu ya Yanga kwenye 5 year Ranking.
Sijaona maelekezo yako yana maana gani mkuu.
Ungetuelezea ni kwanini hawatakutana kabisa
 
Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu

Pot 1

Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda

Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans

Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Kwa hiyo Utopolo bado wanae Al ahly hadi ukamilifu wa dahari 🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo Utopolo bado wanae Al ahly hadi ukamilifu wa dahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si alikuwa nae msimu uliopita tena na kigogo Belouizdad halafu ikatokea nini?
 
Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu

Pot 1

Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda

Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans

Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Utopolo pot 2 katika lini 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom