Ninachoamini ni kwamba Simba inakwenda kuweka historia mpya ya kuchukuwa kombe la Shirikisho this time kisha baada ya miaka 30 ndipo Yanga nayo ichukuwe Kombe hilo.Simba mbona haionekani wakuu?
Nakumbuka Simba ilifika fainali mwaka 1992 then baada ya miongo mitatu na ushee ndipo Yanga ikafika fainali. Simba imefika robo fainali mara nyingi tena mfululizo na baadae saaaaana tena kwa mbinde ndipo Yanga ikafika Msimu huu uliopita. Hata mwaka huu Yanga anaishia Makundi .
Simba inastahili heshima kubwa sana maana hutengeneza njia ili wengine nao waje kupita. MWAKA HUU SIMBA INACHUKUWA KOMBE LA SHIRIKISHO