Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Mada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
FB_IMG_16628051931347251.jpg

Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
 
Yaani kama ukifuatilia baadhi ya account za dada zetu huko social networks, picha zao nyingi wanazo zipenda za kubinua makalio, ya pili ya kupiga picha kwenye gari huku kafunga mkanda na kwa wale wanao tumia iphone watajipiga picha wakiwa wanatizama kioo ili tuione logo ya iphones.
 
Ni biashara
 
Mada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
View attachment 2352489
Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
Unataka uwe peke yako,ulizaliwa nae tumbo moja?vijana wa siku Hz ndio maana ndoa zinawaua kwa wivu,matukio ya kuuuana yamezidi,
Kila mwanamke ana mtu wake,ni Swala la kunyanganyana tu!
 
Back
Top Bottom