Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni biasharaYaani kama ukifuatilia baadhi ya account za dada zetu huko social networks, picha zao nyingi wanazo zipenda za kubinua makalio, ya pili ya kupiga picha kwenye gari huku kafunga mkanda na kwa wale wanao tumia iphone watajipiga picha wakiwa wanatizama kioo ili tuione logo ya iphones.
Wanakwambia:Ni biashara
Cc mzabzab rikiboy Carlos The JackalNgoja nikuitie manguli wa taifa katika hii sekta ROBERT HERIEL Mshana Jr
Unataka uwe peke yako,ulizaliwa nae tumbo moja?vijana wa siku Hz ndio maana ndoa zinawaua kwa wivu,matukio ya kuuuana yamezidi,Mada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
View attachment 2352489
Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
Kumbe,ngoja nifanye utafiti kwa bibi yenuMada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
View attachment 2352489
Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
Ni taarifa tuUnaonea wivu makalio
Kwahiyo wewe unawatafuna tu?Wanakwambia:
Ukiwa Muoga utaishia kutazama tu
Hio ndio kauli mbiu yao