Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Yale ambayo baba yake alikuwa analalamika kuhusu mama yake 70%+ ni ukweli, wala alikuwa hamuonei mama yake.
Mapenzi ni shirikisho la mifumo hisia yenye kuidanganya nafsi yako kuwa hisia uliyonayo ina nguvu kuliko akili yako thus inakupatia faraja na matumaini bandia.
Tungi na shisha ni marafiki zako endapo tu ukiwa na pesa. Mama na mafundisho yake ni marafiki zako hata ukiwa kabwela. Wapi ni bora?
Ni rahisi sana kupata bwana mwenye pesa ila kila kiberiti kinakuja na kasha lake, so usidhani tu amevutiwa tu makalio au sura yako bali amevutiwa na wewe kushoboka, thus kujipatia uhalali wake wa kukupeleka anavyotaka.
Jifunze kukubaliana na hali yako tofauti na hapo utakuwa mteja wa stress na roho mbaya maisha yako yote ya ujana. Maisha ya filter ya instagram ni yao, vp maisha yako?
Hakuna anaekuangalia mtaani, ishi maisha ya kuenzi utulivu wa mtaa wako wako ila sio kuenzi vile watakavyo kuona mtaani kwako.
Hakuna shehe wa visomo, nabii, au mganga atakaebadirisha maisha yako for good, kama uongo nenda kijijini kwa mganga njiani utaona umasikini wa kutupwa, sasa jiulize mbona hawajachukua dawa ya kuboresha maisha yao na mganga wao yupo karibu.
Sawa mtindo wa jamii umehamia kwenye makalio na visungura, aya jiulize kabla ya hapo mtindo ulikuwa upi? Kumaanisha kuwa tunakimbizana na upepo, na hayo yote yatapita ila yataisha wewe ukiwa katika hali gani ukiwa unapokea mtindo mwingine
eli cohen,
CIAO..