Ebana kati ya wanaume waliojaaliwa mashine ndogo, mimi mmoja wapo. Kipindi nipo mdogo sikuwa na mawazo kuhusu ukubwa ya uume wangu, lakini nlivyofika sekondari kipindi tunaoga kwenye mabafu ya wazi shuleni na wenzangu ndiyo nikaanza kujiuliza mbona wenzangu wana maumbile makubwa kunizidi?
Tangia siku hiyo nikawa na umakini sana kwenye uume wangu, nikiwa na imani kuwa labda utaongezeka nimechelewa tu kidogo, lakini wapi. Mpaka leo hii nina miaka 26 lakini ukubwa ni kama ya dogo wa miaka 12.
Nashukuru maisha yangu ya mahusiano siyo mabaya mpaka sasa na hichi ndiyo kimenisaidia sana kupunguza kufikiria sana juu ya ukubwa wa uume wangu. Mara ya kwanza nafanya mapenzi nilikuwa 'very tense', nikiwaza itakuaje kama mwenza wangu akigundua kuwa nina mashine ndogo, si atanicheka kisha kwenda kunitangaza kwa marafiki zake?
But it was not the case, in fact I was very surprised kuwa baada ya kumaliza hiyo siku, yeye ndiyo alinitafuta mwenyewe two days later kutaka turudie. Tulisex mara nyingi mpaka tulipokuja kutengana kutokana na umbali wa muda mrefu. Kiukweli yeye ndiyo alikuwa mwanamke aliyenipa confidence kuwa kumbe hata mimi ninaweza kuenjoy sex japokuwa nina iki kidude.
But the grass is not always greener, kuna mwanamke mmoja ambaye niliingia naye kwenye mahusiano kwa muda wa takribani mwaka hivi na ushee, yeye baada ya kulala naye siku ya kwanza tu alinichana kuwa hajafeel chochote kabisa, and kiukweli japo niliumia but I liked her honesty.
Since then nilisex naye tena several times nikijaribu kutumia mbinu mbalimbali mbadala 😄 na kuna nyingine ambazo alienjoy and actually alinipenda mpaka akataka nimuoe japo mimi mwenyewe ndiyo sikuwa nampenda, so tuliachana pia.
Since then, nimekuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja for more than 3 years sasa and amesema anaenjoy kusex na mimi na haoni kama mapungufu yangu yanaathiri kitu. Nimekuwa na michepuko pia, mingine ilienjoy mingine ilinibidi nitumie mbinu mbadala kwasababu daah, nilikua nikiingiza naona kabisa hawafeel kitu.
Sasahivi nimeshaikubali hali yangu, nimegundua pia kuna wanawake wengi tu ambao naweza kuwaridhisha lakini wapo pia wengi ambao hawatofurahia kusex na mimi so inabidi niwe selective sana mpaka kumpata yule ambaye anaenjoy kuwa nami pasipo na kuathiriwa na hali yangu.
Nimekuja pia kugundua kuwa, hata watu wenye mashine za inchi 8 wapo wengi tu ambao wanawake wao wala hawaenjoy kusex nao. Na kuna wengine wana size nzuri lakini wanakojoa ndani ya sekunde 4, so nishasema yote heri kwanza sitoishi milele duniani😄.
Kama na wewe una dushe ndogo kama mimi, shusha experience yako hapo chini, kama unaogopa kuchekwa basi we kausha zako tu.