Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hapa naona Nvidia anazidi kuchanganyikiwa na hawa Wachina.
Nvidia alijiona kuwa ndio mtu pekee uwezi kubadilisha vifaa vyake uwezo kwenye card.
Sasa wachina walichofanya ni kwamba unaweza kununua graphic card ya 8Gb na ukaipeleka 48Gb na ikafanya kazi kama graphic mpya yenye uwezo kama mpya.