Alichoongea ni kweli, ongezea nyama kidogo uelewekeUshawahi kuelewa elimu ya telegram au umezaliwa kigoma ujiji
Jiongeze kwenye jambo lolote sio sehemu ya kuwafungua watu.We ndio utarudi kujiuliza.Alichoongea ni kweli, ongezea nyama kidogo ueleweke
Ukute unaongea tu hata hujui kazi ya graphics card...Ushawahi kuelewa elimu ya telegram au umezaliwa kigoma ujiji
Kuna jambo gani la kuweka wazi hapo mpaka ushindwa kupata fursa.Jiongeze kwenye jambo lolote sio sehemu ya kuwafungua watu.We ndio utarudi kujiuliza.
Shida ya watanzania mnapenda uwazi sana ambao ukiwa wazi mnaweza kushindwa kutumia fursa hizi kwa dunia ya sasa.
Acha porojo jibu maswaliJiongeze kwenye jambo lolote sio sehemu ya kuwafungua watu.We ndio utarudi kujiuliza.
Shida ya watanzania mnapenda uwazi sana ambao ukiwa wazi mnaweza kushindwa kutumia fursa hizi kwa dunia ya sasa.
Kakuta sehemu kadandia kama ilivyo,hata hiyo graphic card ajui ipojeKuna jambo gani la kuweka wazi hapo mpaka ushindwa kupata fursa.
Isanga mafuta shingapi
Yaan mtu yupp mbio mbio kama mavi yamembana...Kakuta sehemu kadandia kama ilivyo,hata hiyo graphic card ajui ipoje
Hawezi kujibu hili swala anadhani Nvidia wanabahatisha.Yaan mtu yupp mbio mbio kama mavi yamembana...
Nilitaka kujua hapo hiyo card ya 8gb inawezaje kuwa 32gb
Wanapenda msererekoUvumbuzi muachie mzungu kwa sehemu kubwa, kuendeleza na kutoa copy muachie Mchina.
Mchina angekuwa mambo anavumbua yeye basi credit nyingi tungempa yeye.