Hakuna population huko ni nje ya mji.Hilo la shinyanga Lina ukiwa gani?
Nashukuru kwa maelekezo yako mazuri nitaomba namba yako pm kama hutojaliHakuna population huko ni nje ya mji.
Kama upo serious na Shinyanga iwe Kahama Chief.
Na sioni ukiwaepuka madalali hapa maana ngumu kupata nyumba mpya yenye sifa unazotaka kwenye population ni kumshawishi mmiliki abadili matumizi au upate zahanati iliyomshinda mtu kuendesha.
Watu wanajenga apartments tu
Mtazamo wako wa kimasikini, mimi mwenyewe nimetafuta shamba nalima lakini mwenye shamba nampa asilimia ya mavuno, tatizo mna mawazo ya kimasikiniNinapokaa pana population kubwa sana sana, na Kuna majengo mazuri sana, sana na Kodi ni labda 2m kwa jengo kubwa.
Kusema una vifaa vyote tunaongelea about 100m plus, au let's say 50my hiyo sio hela ndogo.
Kodi ya jengo kwa mwezi kama ni 2m, ukiongea na mwenye nyumba miezi 6 au hata Mali kauli ni about 12m.
1. Una watendaji labda 5 - nyie wote mmeshindwa ku source 12m ya jengo kukodisha mpaka mje jamii?
2. Nyie, pamoja na ndugu zenu wote na class mates, na kwenye nyumba za ibada mnashindwa kupata hiyo in come?
3. Kwa watu proffesional wa kada yako, kweli mnakuja ku source capital online? Ya 12m? How did you acquire hizo assets?
Conclusion;
Either tapeli or a fool
Mtazamo wako wa kimasikini, mimi mwenyewe nimetafuta shamba nalima lakini mwenye shamba nampa asilimia ya mavuno, tatizo mna mawazo ya kimasikini
Nashukuru mkuu kwa kumweleza huyo vemaMtazamo wako wa kimasikini, mimi mwenyewe nimetafuta shamba nalima lakini mwenye shamba nampa asilimia ya mavuno, tatizo mna mawazo ya kimasikini
Una akili finyu sana boss.
Mimi nina makampuni mawili, moja ya kampuni nlipata partner humu humu na akainvest bila hata ya sie kuonana physically, ni mwaka wa pili huu kampuni inaendelea.
Ufinyu wa akili zako usiutumie kukatisha tamaa watu, dunia ya sasa ipo online, kila kitu ulichokua unaweza kukipata sasa unaweza kukipata online
Hili ni jinga lisikusumbueUna akili finyu sana boss.
Mimi nina makampuni mawili, moja ya kampuni nlipata partner humu humu na akainvest bila hata ya sie kuonana physically, ni mwaka wa pili huu kampuni inaendelea.
Ufinyu wa akili zako usiutumie kukatisha tamaa watu, dunia ya sasa ipo online, kila kitu ulichokua unaweza kukipata sasa unaweza kukipata online
Hajui watu Kariakooo hapa wanaviwanja na hawana mtaji wa kujenga ghorofa, mwishowe humtafuta mwenye fedha na kuingia ubia kwenye ujenzi. Tatizo kutaka kuonekana yeye mjanza wa mjini, kumbe mshamba tu, hajui Dunia inakwenda kwa ubia? Hivi anaijua hata Puma kwamba kuna ubia mle?? Unakuta hilo nalo limesoma.Nashukuru mkuu kwa kumweleza huyo vema
Mana mm binafsi nimejichanga kwa mishahara yangu kununua vifaa ikiwemo ultrasound n.k
Sasa kwa kuwa ndo naanza Sina namna ndo mana nikaja kwa watanzania wenzangu Ili tuweze kusaidiana ila mtu anatokea from no where eti tapeli Hakika hizi umaskini unaanzia kwenye fikra
Huwezi nielewa, ulichoandika na hoja ya Mhusika ni vitu viwili tofauti, anyway, upo sahihi Ninaawqzo ya kimask
Nashukuru mkuu kwa kumpa maelekezo mazuri huyu bwanaUna akili finyu sana boss.
Mimi nina makampuni mawili, moja ya kampuni nlipata partner humu humu na akainvest bila hata ya sie kuonana physically, ni mwaka wa pili huu kampuni inaendelea.
Ufinyu wa akili zako usiutumie kukatisha tamaa watu, dunia ya sasa ipo online, kila kitu ulichokua unaweza kukipata sasa unaweza kukipata online
Ndo maana nakwambia wewe akili zako ni finyu, huwezi kuona chochote njebya upeo wa ufinyu wako.
Level up!
Acha ujinga watu wanashawishika na wazo na akiona idea Iko vizuri mnafanya biasharaUpo sahihi Mzee wa online, kwa hiyo mtu kawekeza wa jamii forums na hata hamjaonana? Hongereni sana wazee wa online!
Mtu asiyeaminika kwenye mazingira yake anaaminika Jamii forums na mtu anawekeza na kumwamini bila kumwona?
Nawapongeza sana wazee wa online businesses!
Huo ushamba,nachukia sana mwanaume mwenzako anapokuja na jambo mnakimbilia utapeli, harafu mbona maelezo yake yamenyooka sana? Elimu elimu elimu elimu elimuHuwezi nielewa, ulichoandika na hoja ya Mhusika ni vitu viwili tofauti, anyway, upo sahihi Nina mawazo ya kimaskin
Acha ujinga watu wanashawishika na wazo na akiona idea Iko vizuri mnafanya biashara
Binafsi huwa nawashawishi taasisi kubwa kuja kuwekeza kwenye mazao
Mkuu watu wanapata fursa hapa JF na kutoa fursa .Upo sahihi
Idea inaleta vyote hivoMje mshuhudie mwisho wa hii deal, hamjafanya Biashara nyie Mbwira, mna idea za biashara kichwani.
Katika strength kubwa kwenye Biashara ni idea, staffing na vitendea kazi ( actual business )
Hakuna mtu anayepata;
1. Staffing.
2. idea.
3. Vitendea kazi...
Aje mtandaoni kutafuta jengo!
Business partnership ni maamuzi Magumu sana kwa wafanya Biashara, na Majority huishia kwa kuzulumiana na kila kitu.
Watu wanapoingia kwenye Biashara katika partnership ( kama mnajua biashara ) wanahakikisha wanapata benefits za kuelezeka sana kuuza sehemu ya Biashara.
Hakuna mtu mwenye Capita ya 100m anakuja mtandaoni kutafuta partnership yenye value ya 20m, hamjui biashara nyinyi!
Binafsi hapa jamii forums nimekutana na wateja wawili nimewauzia mahindi Tani 10 mwezi April tu hapoMkuu watu wanapata fursa hapa JF na kutoa fursa .
JF ni mtandao mkubwa Sana labda Kama haujajua ndo ujue .
Mimi kuna watu nawajua wanfanya biashara za mamilioni na wamekutana hapa JF.
Usichukulie poa MTU anaye share wazo lake hapa. Be smart
Nimeshangaa uwezo wa kuelewa mambo .Idea inaleta vyote hivo
Biashara ni idea.
Watu wana pesa wanamtafuta idea nzuri wawekeze
Ukiona Bakhresa anatengeneza hizo juice za energy, ukwaju,apple n.k ujue aliletewa idea akawekeza
Bakhresa ana Bagamoyo sugar ni wazo aliletewa akashawishika akaweza
Ukiona Rais wako anaenda Europe kutafuta wawekezaji anapeleka wazo tu hao wawekezaji wanaleta vifaa, mitaji na teknolojia