Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

Idea inaleta vyote hivo
Biashara ni idea.
Watu wana pesa wanamtafuta idea nzuri wawekeze
Ukiona Bakhresa anatengeneza hizo juice za energy, ukwaju,apple n.k ujue aliletewa idea akawekeza
Bakhresa ana Bagamoyo sugar ni wazo aliletewa akashawishika akaweza
Ukiona Rais wako anaenda Europe kutafuta wawekezaji anapeleka wazo tu hao wawekezaji wanaleta vifaa, mitaji na teknolojia

Bado ujelewa, kwa hiyo wewe unaweza kuwa na frame inayokuingizia 3m a month, ukatafuta partner wa kukusaidia kununua pickup ya 12m ya ku supply na kumpa mtu umiliki sehemu ya Biashara?

Nyie ndo wala mna theory za biashara, mlisumbu sana kulima matikiti kule Bagamoyo na Vunjo Moshi, mkaishi kupata hasara mpaka Leo hamtaki kula matikiti!
 
Bado ujelewa, kwa hiyo wewe unaweza kuwa na frame inayokuingizia 3m a month, ukatafuta partner wa kukusaidia kununua pickup ya 12m ya ku supply na kumpa mtu umiliki sehemu ya Biashara?

Nyie ndo wala mna theory za biashara, mlisumbu sana kulima matikiti kule Bagamoyo na Vunjo Moshi, mkaishi kupata hasara mpaka Leo hamtaki kula matikiti!
Nimekudharau dogo
Una uelewa mdogo
Hujui biashara ya partnership?

Nakupa mfano
Nina eneo potential liko mjini Nina wazo la kujenga shule Sina pesa, naomba Kwa tajiri namshawishi ukiwekeza hapa million 1 billion Nina uweZo wa kukulipa million 300 kila mwaka Kwa miaka 10
Hivyo wekeza tufanye kazi
Unadhani mtu mwenye pesa atakataa kuwekeza
 
Upo sahihi Mzee wa online, kwa hiyo mtu kawekeza wa jamii forums na hata hamjaonana? Hongereni sana wazee wa online!

Mtu asiyeaminika kwenye mazingira yake anaaminika Jamii forums na mtu anawekeza na kumwamini bila kumwona?

Nawapongeza sana wazee wa online businesses!
Kuna wengine hawaanzii kabisa huko mitaani au kwenye jamii zao wanazoonana ana kwa ana ila wanakuja humu moja kwa moja, kwasababu watu ambao wako humu ndio hao hao ambao wako mtaani.

Na kitu kizuri ni kwamba, humu rahisi kupata watu wengi kwa muda mchache kuliko mtaani kuanza kumfuata mtu mmoja mmoja.

Na kitu kingine idea kubwa huwa mara nyingi ukishare na watu ambao mmekua wote, wengi wao hawazipi ule userious zaidi ya kufanya utani wa hapa na pale.

Lakini pia kuna watu hawana connection za watu wa namna hiyo huko mtaani kwahiyo kupitia social kama hivi mnaconnect na kupeana idea pamoja na michongo kama hiyo.

Kwahiyo nadhani si jambo baya unapokua na jambo ukaamua uchague wapi uanze kulingana na muingiliano wako na watu wa huko mtaani au maeneo kama haya.
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri

Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini

Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo
1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi
2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau vya kuvifanya baadhi viwe wodi
3. Jengo liwe la kuvutia kiasi chake japo ukarabati pia tutaufanya kuboresha ili kuendana na mahitaji
4. Jengo liwe na parking walau kidogo ya gari 2 au 3 sio mbaya
5. Jengo liwe na umeme wa kujtegemea pamoja na maji


Nina full seti ya vifaa pamoja na wataalam kutoka kwenye kada mbalimbali za kutoa huduma

Note; tutapeana ubia wa umiliki wa hosptali kwa mwenye jengo

Kama una jengo na upo tayari kupata percentage ya umiliki karibu tijadiliane vizuri

Email: [email protected]
Phone number; +255689483673
Njoo inbox tuongee mkuu
 
Back
Top Bottom