Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

Hilo la shinyanga Lina ukiwa gani?
Hakuna population huko ni nje ya mji.

Kama upo serious na Shinyanga iwe Kahama Chief.

Na sioni ukiwaepuka madalali hapa maana ngumu kupata nyumba mpya yenye sifa unazotaka kwenye population ni kumshawishi mmiliki abadili matumizi au upate zahanati iliyomshinda mtu kuendesha.

Watu wanajenga apartments tu
 
Nashukuru kwa maelekezo yako mazuri nitaomba namba yako pm kama hutojali
 
Mtazamo wako wa kimasikini, mimi mwenyewe nimetafuta shamba nalima lakini mwenye shamba nampa asilimia ya mavuno, tatizo mna mawazo ya kimasikini
 
Mtazamo wako wa kimasikini, mimi mwenyewe nimetafuta shamba nalima lakini mwenye shamba nampa asilimia ya mavuno, tatizo mna mawazo ya kimasikini

Huwezi nielewa, ulichoandika na hoja ya Mhusika ni vitu viwili tofauti, anyway, upo sahihi Nina mawazo ya kimaskin
 
Mtazamo wako wa kimasikini, mimi mwenyewe nimetafuta shamba nalima lakini mwenye shamba nampa asilimia ya mavuno, tatizo mna mawazo ya kimasikini
Nashukuru mkuu kwa kumweleza huyo vema
Mana mm binafsi nimejichanga kwa mishahara yangu kununua vifaa ikiwemo ultrasound n.k
Sasa kwa kuwa ndo naanza Sina namna ndo mana nikaja kwa watanzania wenzangu Ili tuweze kusaidiana ila mtu anatokea from no where eti tapeli Hakika hizi umaskini unaanzia kwenye fikra
 

Upo sahihi Mzee wa online, kwa hiyo mtu kawekeza wa jamii forums na hata hamjaonana? Hongereni sana wazee wa online!

Mtu asiyeaminika kwenye mazingira yake anaaminika Jamii forums na mtu anawekeza na kumwamini bila kumwona?

Nawapongeza sana wazee wa online businesses!
 
Hili ni jinga lisikusumbue
 
Hajui watu Kariakooo hapa wanaviwanja na hawana mtaji wa kujenga ghorofa, mwishowe humtafuta mwenye fedha na kuingia ubia kwenye ujenzi. Tatizo kutaka kuonekana yeye mjanza wa mjini, kumbe mshamba tu, hajui Dunia inakwenda kwa ubia? Hivi anaijua hata Puma kwamba kuna ubia mle?? Unakuta hilo nalo limesoma.
 
Huwezi nielewa, ulichoandika na hoja ya Mhusika ni vitu viwili tofauti, anyway, upo sahihi Ninaawqzo ya kimask

Nashukuru mkuu kwa kumpa maelekezo mazuri huyu bwana
 
Ndo maana nakwambia wewe akili zako ni finyu, huwezi kuona chochote njebya upeo wa ufinyu wako.

Level up!

Nimekubali, wala siitaji ku level up, hongera sana, nyie ndo mlevel up mnaotafuta capital humu!
 
Acha ujinga watu wanashawishika na wazo na akiona idea Iko vizuri mnafanya biashara
Binafsi huwa nawashawishi taasisi kubwa kuja kuwekeza kwenye mazao
 
Huwezi nielewa, ulichoandika na hoja ya Mhusika ni vitu viwili tofauti, anyway, upo sahihi Nina mawazo ya kimaskin
Huo ushamba,nachukia sana mwanaume mwenzako anapokuja na jambo mnakimbilia utapeli, harafu mbona maelezo yake yamenyooka sana? Elimu elimu elimu elimu elimu
 
Mje mshuhudie mwisho wa hii deal, hamjafanya Biashara nyie Mbwira, mna idea za biashara kichwani.

Katika strength kubwa kwenye Biashara ni idea, staffing na vitendea kazi ( actual business )

Hakuna mtu anayepata;

1. Staffing.
2. idea.
3. Vitendea kazi...

Aje mtandaoni kutafuta jengo!

Business partnership ni maamuzi Magumu sana kwa wafanya Biashara, na Majority huishia kwa kuzulumiana na kila kitu.

Watu wanapoingia kwenye Biashara katika partnership ( kama mnajua biashara ) wanahakikisha wanapata benefits za kuelezeka sana kuuza sehemu ya Biashara.

Hakuna mtu mwenye Capital ya 100m anakuja mtandaoni kutafuta partnership yenye value ya 20m, hamjui biashara nyinyi!
 
Upo sahihi
Mkuu watu wanapata fursa hapa JF na kutoa fursa .

JF ni mtandao mkubwa Sana labda Kama haujajua ndo ujue .

Mimi kuna watu nawajua wanfanya biashara za mamilioni na wamekutana hapa JF.

Usichukulie poa MTU anaye share wazo lake hapa. Be smart
 
Idea inaleta vyote hivo
Biashara ni idea.
Watu wana pesa wanamtafuta idea nzuri wawekeze
Ukiona Bakhresa anatengeneza hizo juice za energy, ukwaju,apple n.k ujue aliletewa idea akawekeza
Bakhresa ana Bagamoyo sugar ni wazo aliletewa akashawishika akaweza
Ukiona Rais wako anaenda Europe kutafuta wawekezaji anapeleka wazo tu hao wawekezaji wanaleta vifaa, mitaji na teknolojia
 
Mkuu watu wanapata fursa hapa JF na kutoa fursa .

JF ni mtandao mkubwa Sana labda Kama haujajua ndo ujue .

Mimi kuna watu nawajua wanfanya biashara za mamilioni na wamekutana hapa JF.

Usichukulie poa MTU anaye share wazo lake hapa. Be smart
Binafsi hapa jamii forums nimekutana na wateja wawili nimewauzia mahindi Tani 10 mwezi April tu hapo
 
Nimeshangaa uwezo wa kuelewa mambo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…