Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara


Bado ujelewa, kwa hiyo wewe unaweza kuwa na frame inayokuingizia 3m a month, ukatafuta partner wa kukusaidia kununua pickup ya 12m ya ku supply na kumpa mtu umiliki sehemu ya Biashara?

Nyie ndo wala mna theory za biashara, mlisumbu sana kulima matikiti kule Bagamoyo na Vunjo Moshi, mkaishi kupata hasara mpaka Leo hamtaki kula matikiti!
 
Nimekudharau dogo
Una uelewa mdogo
Hujui biashara ya partnership?

Nakupa mfano
Nina eneo potential liko mjini Nina wazo la kujenga shule Sina pesa, naomba Kwa tajiri namshawishi ukiwekeza hapa million 1 billion Nina uweZo wa kukulipa million 300 kila mwaka Kwa miaka 10
Hivyo wekeza tufanye kazi
Unadhani mtu mwenye pesa atakataa kuwekeza
 
Kuna wengine hawaanzii kabisa huko mitaani au kwenye jamii zao wanazoonana ana kwa ana ila wanakuja humu moja kwa moja, kwasababu watu ambao wako humu ndio hao hao ambao wako mtaani.

Na kitu kizuri ni kwamba, humu rahisi kupata watu wengi kwa muda mchache kuliko mtaani kuanza kumfuata mtu mmoja mmoja.

Na kitu kingine idea kubwa huwa mara nyingi ukishare na watu ambao mmekua wote, wengi wao hawazipi ule userious zaidi ya kufanya utani wa hapa na pale.

Lakini pia kuna watu hawana connection za watu wa namna hiyo huko mtaani kwahiyo kupitia social kama hivi mnaconnect na kupeana idea pamoja na michongo kama hiyo.

Kwahiyo nadhani si jambo baya unapokua na jambo ukaamua uchague wapi uanze kulingana na muingiliano wako na watu wa huko mtaani au maeneo kama haya.
 
Njoo inbox tuongee mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…