Yes, hakuna kitu mnaweza kamilisha, you are bogus on everything and fail on everything... kila kitu kwenu ni failed hadi simple assassinations mna-fail vile mnafail kwa projects zenu....bure kabisa.Tanzania hatujawahi kupata political assassination, labda failed assassination ya Tundu Lisu pekee, ila Kenya ni zaidi ya watu 300 tena viongozi wa ngazi za juu wa kisiasa na viongozi wa dini.
Eti simple assassinations wanafeliππππYes, hakuna kitu mnaweza kamilisha, you are bogus on everything and fail on everything... kila kitu kwenu ni failed hadi simple assassinations mna-fail vile mnafail kwa projects zenu....bure kabisa.
Ngoja nikutafuteTumia yoyote ile utanipata.
You never fail inYes, hakuna kitu mnaweza kamilisha, you are bogus on everything and fail on everything... kila kitu kwenu ni failed hadi simple assassinations mna-fail vile mnafail kwa projects zenu....bure kabisa.
Kwasababu hatuna uzoefu katika eneo hilo, that was the first attempt and we failed terribly, next time we will ask GoK to help us.Eti simple assassinations wanafeliππππ
Acha kuandika uharo hapa..achana na hizo stori za vijiweni,huku kuna freedom of speech kubwa
Acha kuandika uharo hapa..
Tanzania kuna freedom of speech gani??
Ben Saanane, Azory na DED wa kule Kigoma wamepotezwa sababu ya Freedom of Speech..vipi Lissu na Roma Mkatoliki..na Nay Wa Mitego..??
AIBU.
Nimekuja mbio nikidhani bonge la msiba, nimejiandaa kilio cha machozi... kumbe yale yale.
Nyie kwanza ndio mnafaa kuwa kwenye kilio maana mambo yanavyotendeka huko kwenu noma sana, nimeona sehemu eti waliokua wananunua korosho na kuuza wataishia kilio. Kawaida kuna wakulima ambao hawajiwezi hivyo unamuwezesha kwa kununua mbegu na kila kitu ikiwemo usafirishaji kisha baadaye mtagawana faida, sasa naskia mumetaifisha vyote eti kila mtu lazima aonyeshe shamba lake.
Balaa sana huko kwenu, vyuma vinakaza halafu kutwa mnahangaika na vya Kenya.