Nimekuja mbio nikidhani bonge la msiba, nimejiandaa kilio cha machozi... kumbe yale yale.
Nyie kwanza ndio mnafaa kuwa kwenye kilio maana mambo yanavyotendeka huko kwenu noma sana, nimeona sehemu eti waliokua wananunua korosho na kuuza wataishia kilio. Kawaida kuna wakulima ambao hawajiwezi hivyo unamuwezesha kwa kununua mbegu na kila kitu ikiwemo usafirishaji kisha baadaye mtagawana faida, sasa naskia mumetaifisha vyote eti kila mtu lazima aonyeshe shamba lake.
Balaa sana huko kwenu, vyuma vinakaza halafu kutwa mnahangaika na vya Kenya.