Kama una machozi ya karibu pita mbali na huu uzi,Kenya hali ni mbaya

Kama una machozi ya karibu pita mbali na huu uzi,Kenya hali ni mbaya

Tanzania hatujawahi kupata political assassination, labda failed assassination ya Tundu Lisu pekee, ila Kenya ni zaidi ya watu 300 tena viongozi wa ngazi za juu wa kisiasa na viongozi wa dini.
Yes, hakuna kitu mnaweza kamilisha, you are bogus on everything and fail on everything... kila kitu kwenu ni failed hadi simple assassinations mna-fail vile mnafail kwa projects zenu....bure kabisa.
 
Yes, hakuna kitu mnaweza kamilisha, you are bogus on everything and fail on everything... kila kitu kwenu ni failed hadi simple assassinations mna-fail vile mnafail kwa projects zenu....bure kabisa.
Eti simple assassinations wanafeli😀😀😀😀
 
Yes, hakuna kitu mnaweza kamilisha, you are bogus on everything and fail on everything... kila kitu kwenu ni failed hadi simple assassinations mna-fail vile mnafail kwa projects zenu....bure kabisa.
You never fail in
1)Political assassination
2)Police killings with impunity
3)Corruption
4)Tribalism
5)Terrorism
6)Unemployment
7)Hunger
8)Poverty
9)Nepotism
10)Land grabbing
When it comes to projects, your are very good implementers, congratulations for exemplary projects like
1)Green field terminal
2)Galana irrigation project
3)Mumia sugar factory
4)Procurement of old model diesel engines trains
5)Transportation of little crude oil by road.
Failed state indeed.
 
achana na hizo stori za vijiweni,huku kuna freedom of speech kubwa
Acha kuandika uharo hapa..
Tanzania kuna freedom of speech gani??
Ben Saanane, Azory na DED wa kule Kigoma wamepotezwa sababu ya Freedom of Speech..vipi Lissu na Roma Mkatoliki..na Nay Wa Mitego..??
AIBU.
 
Pamoja na yote hayo huwezi kulinganisha na Kenya, hapo umetaja watu watano, Mimi nitakutajia wakenya mia tano wsliokwisha uliwa na wengine kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Acha kuandika uharo hapa..
Tanzania kuna freedom of speech gani??
Ben Saanane, Azory na DED wa kule Kigoma wamepotezwa sababu ya Freedom of Speech..vipi Lissu na Roma Mkatoliki..na Nay Wa Mitego..??
AIBU.
 
Nimekuja mbio nikidhani bonge la msiba, nimejiandaa kilio cha machozi... kumbe yale yale.

Nyie kwanza ndio mnafaa kuwa kwenye kilio maana mambo yanavyotendeka huko kwenu noma sana, nimeona sehemu eti waliokua wananunua korosho na kuuza wataishia kilio. Kawaida kuna wakulima ambao hawajiwezi hivyo unamuwezesha kwa kununua mbegu na kila kitu ikiwemo usafirishaji kisha baadaye mtagawana faida, sasa naskia mumetaifisha vyote eti kila mtu lazima aonyeshe shamba lake.

Balaa sana huko kwenu, vyuma vinakaza halafu kutwa mnahangaika na vya Kenya.

Unaona hamna cha kushangaza hapo sio🤭🤭!! Wewe kweli umeichoka kenya. Madeni hayakatazwi lakini ninyi mnavyoyatumia kikora hiyo tu ndio sikitiko, na effect yake ya mida mrefu
 
Back
Top Bottom