Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habarini,
Unapokuja katika suala la mavazi mafupi, wapo wanawake ambao wamejaliwa na miguu yao mizuri ya bia wakivaa wananoga.
Uvaaji wa nguo fupi umekua unawachoresha hawa wenzetu wenye miguu mlonjo, unaamuonyesha nani milonjo yako!.
Kuna mavazi ya aina nyingi kama sketi ndefu, suruali, unaweza ukavaa na ukanoga tu.
NB: Nina guu la bia hataree, sitaki povu!